WAKATI wabunge wa upinzani wakishinikiza marais waliopitisha mikataba mibovu kuhojiwa, Job Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania amewaibua Mawaziri wastaafu Edward Lowassa na Fredrick Sumaye, anaandika Hamisi Mguta. Ndugai amesema ...
Read More »Daily Archives: June 13, 2017
15 wafunikwa na kifusi cha ghorofa, Kenya
KARIBU watu 15 hawajulikani waliko baada ya jumba la ghorofa saba kuporomoka siku ya Jumatatu (jana) usiku, katika kitongoji kimoja cha mji mkuu wa Kenya, Nairobi. Shirika la msalaba mwekundu ...
Read More »