Sunday , 12 May 2024
HABARI ZA SIASA
Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Biteko: Serikali itaendelea kushirikiana na Red Cross

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania. Anaripoti Mwandishi...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Dk.Mpango aagiza trafki kuvaa makoti ya kamera kudhibiti rushwa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuangalia upya mfumo mzima wa utoaji...

Habari za SiasaKimataifa

Palestina mwanachama wa 194 wa UN

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jana Ijumaa limepitisha kwa wingi kura za azimio linalounga mkono Palestina kuwa mwanachama kamili wa umoja huo....

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Vijana UVCCM Kagera wataka mwenyekiti wao ajiuzulu

VIJANA wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera wamemtaka Mwenyekiti wa UVCCM, Mkoa huo Faris Buruhan kuomba radhi au kujiuzulu kwenye nafasi yake...

Habari za SiasaTangulizi

Mpina awavaa mawaziri wanaompelekea majungu Rais Samia

MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) amewataka baadhi ya mawaziri aliodai kuwa wanampelekea majungu Rais Samia Suluhu kuhusu wabunge wanaokosoa utendaji wa serikali...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

THRDC, Wizara ya Katiba wajadili uanzishaji haki binadamu katika biashara

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umefanya mazungumzo na Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Pindi Chana, kuhusu masuala matano...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Sitta ang’ang’ana wanafunzi watibiwe bure, Serikali yagoma

MBUNGE wa Urambo, Margaret Sitta, ameishauri Serikali iweke utaratibu wanafunzi wapatiwe huduma za afya bure kama inavyotoa huduma za elimu bure kuanzia shule...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Waitara ahoji bungeni mwarobaini mauaji katika mgodi Barick North Mara

MBUNGE wa Tarime Vijijini (CCM), Mwita Waitara, ameitaka Serikali kutafuta mwarobaini wa visa vya mauaji ya vijana wanaodaiwa kuvamia maeneo ya Mgodi wa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Kikokotoo na mafao vyatikisa Bunge, Spika ataka kibano kwa mifuko

SAKATA la kanuni mpya za ukokotoaji mafao ya wastaafu (kikokotoo) kupunja pensheni za watumishi, pamoja na ucheleweshaji wa malipo yake, limeendelea kutikisa Bunge,...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Kamati Kuu Chadema kuketi Mei 11

KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), inatarajiwa kuketi katika makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, jijini Dar es Salaam, kuanzia...

ElimuHabari za Siasa

Serikali kuongeza wanufaika mikopo ya elimu ya juu

SERIKALI imesema itaongeza idadi ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu, wenye sifa na uhitaji, kutoka 223,201 waliopata kwenye mwaka wa fedha...

ElimuHabari za Siasa

Serikali kufumua mitaala ya vyuo vikuu, ufundi stadi

SERIKALI inakusudia kufanya mapitio katika mitaala na programu za vyuo vikuu na vyuo vya ufundi stadi ili kuzifanyia maboresho kwa lengo la kuhakikisha...

ElimuHabari Mchanganyiko

Chongolo aagiza TAKUKURU kuchunguza ujenzi wa bweni

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amemuagiza Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani humo kufanya uchunguzi wa...

ElimuHabari Mchanganyiko

Ugawaji taulo za kike watajwa kutokomeza utoro shuleni

BAADHI ya wanafunzi na walimu wa shule za sekondari mkoani Geita wamesema zoezi la ugawaji wa taulo za kike kwa ajili ya kuwasitiri...

AFYA

AfyaHabari MchanganyikoMakala & Uchambuzi

Kisukari cha mimba ni nini?

Kisukari cha mimba ni aina ya kisukari kinachotokea kwa baadhi ya wanawake...

AfyaHabari Mchanganyiko

Huduma za kibingwa zazinduliwa katika hospitali za halmashauri 184

SERIKALI imezindua huduma za matibabu za kibingwa katika hospitali 184 za ngazi...

AfyaHabari Mchanganyiko

200 wapimwa afya na GGML katika maonesho ya OSHA

ZAIDI ya watu 200 jijini Arusha wamejitokeza kupimwa afya na Kampuni ya...

AfyaHabari za Siasa

Dk. Biteko aagiza utoaji huduma saratani usiwe wa kibaguzi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema  Serikali...

AfyaHabari Mchanganyiko

Songwe katika mikakati ya elimu ya lishe kudhibiti udumavu

  SERIKALI mkoani Songwe imejipanga kuendelea kutoa elimu ya lishe kwa wananchi...

BIASHARA NA UCHUMI
Biashara

Meridianbet yatoa msaada Kigamboni siku ya Mama Duniani

MABIBGWA wa michezo ya kubashiri kampuni yaMeridianbet imefika kigamboni leo siku ya kina Mama duniani na kufanikiwa kutoa msaada katika Zahanati inayopatikana Mji mwema....

BiasharaHabari Mchanganyiko

PPAA yajipanga kuwanoa wazabuni namna kuwasilisha rufaa kieletroniki

Ili kukabiliana na mageuzi yaliyofanyika katika Sheria mpya ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2023, Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA)...

Biashara

Meridianbet kasino yaja na promo ya mil 200/=

  Kimbunga Hidaya kilikuja na madhara makubwa sana katika maeneo ya ukanda wa pwani hususani Lindi, lakini Kimbunga cha Meridianbet Kasino ya Mtandaoni...

Biashara

Moon of Thoth, historia ya Misri ya kale ilipofichwa ndani ya kasino

  Nchi ya Misri imebeba karibia asilimia kubwa ya mambo ya kale kwenye ulimwengu huu, mambo mengi sana kuhusu historia ya kale ipo...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafugaji kuku Ihemi wanufaika na mafunzo

WADAU  wa mnyororo wa thamani katika sekta ndogo ya kuku wameonesha kuridhishwa  na  mafunzo ya ufugaji kuku kisasa yanayotolewa Kituo cha SilverLands Tanzania...

Biashara

Expanse Tournament kasino mzigo umeongezwa hadi mil 400/=

Jiunge na Meridianbet kasino kufurahia promosheni kubwaya Expanse Tournament, inakupa bonasi za kasino hukuukifurahia mamilioni yakimwagika kila baada ya sekunde. Shiriki kwenye shindano...

Biashara

Bounty Hunters sloti yenye utajiri Meridianbet kasino

Congo DR inasifika sana kwa wingi wa madini ya dhahabu, tangu miaka ile inaitwa Zaire ya Kina Mobutu Sese Seko, nahadi leo hii...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC, SILABU waungana kufikisha elimu ya fedha majumbani

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji na kampuni ya SILABU APP inayotoa huduma za masomo ya ziada...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Serikali kuwakopesha wajasiriamali 18.5bn/- kupitia NMB

Serikali imetenga kiasi cha Sh 18.5 bilioni kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali nchini zitakazotolewa kama mikopo yenye masharti nafuu kupitia Benki ya NMB....

Biashara

Cheza kwa kuanzia Sh 400 kushinda mgao wa Expanse Tournament kasino 

  UKISIKIA bosi kacheka ujue Maokoto yanafuatia, Kupitia promosheni pendwa ya Expanse iliyopo Meridianbet Kasino ya Mtandaoni unaweza kujishindia zawadi kibao, cha kufanya...

error: Content is protected !!