Monday , 13 May 2024
HABARI ZA SIASA
AfyaHabari za Siasa

Wizara afya kutumia Sh. 1.31 trilioni, huduma za kibingwa zapewa kipaumbele

WIZARA ya Afya, imeliomba Bunge lipitishe makadirio yake ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha wa 2024/25, ya kiasi cha Sh. 1.31...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Wizara kutumia Sh. 3.5 bilioni kuchunguza afya ya akili, nguvu za kiume

WIZARA ya Afya, imepanga kutumia Sh. 3.50 bilioni, kwa ajili ya kufanya tafiti za masuala sita, ikiwemo changamoto ya afya ya akili na...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

THRDC yapaza sauti changamoto ya intaneti

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeitaka Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kufanya jitihada za kutafuta njia mbadala...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Prof. Ndakidemi aitaka TMA kutoa taarifa kwa njia ya SMS

MBUNGE wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi (CCM) ameishauri Serikali kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) kutumia simu za mkononi ili...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Mrithi wa Mrema TLP kupatikana Juni 29

UCHAGUZI wa  Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), umepangwa kufanyika tarehe 29 Juni mwaka huu, ili kumpata mtu atakayeshikilia wadhifa huo...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Msukuma aibana Serikali ujenzi nyumba za watumishi Geita DC

MBUNGE wa Geita, Joseph Msukuma (CCM) ameishauri Serikali kutenga bajeti maalumu kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi wa Halmashauri 31 zilizoanzishwa...

AfyaHabari za Siasa

Vifo vitokanavyo na UKIMWI vyapungua

VIFO vinavyosababishwa na Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI), vimepungua kutoka 29,000 (2022) hadi 22,000 (2024), wakati vitokanavyo na ugonjwa wa kifua kikuu (TB)...

AfyaHabari MchanganyikoHabari za Siasa

NBC yazindua kadi uanachama msalaba mwekundu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kuunga mkono jitihada za serikali katika...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Biteko: Serikali itaendelea kushirikiana na Red Cross

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania. Anaripoti Mwandishi...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Dk.Mpango aagiza trafki kuvaa makoti ya kamera kudhibiti rushwa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuangalia upya mfumo mzima wa utoaji...

ElimuHabari za Siasa

Serikali kuongeza wanufaika mikopo ya elimu ya juu

SERIKALI imesema itaongeza idadi ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu, wenye sifa na uhitaji, kutoka 223,201 waliopata kwenye mwaka wa fedha...

ElimuHabari za Siasa

Serikali kufumua mitaala ya vyuo vikuu, ufundi stadi

SERIKALI inakusudia kufanya mapitio katika mitaala na programu za vyuo vikuu na vyuo vya ufundi stadi ili kuzifanyia maboresho kwa lengo la kuhakikisha...

ElimuHabari Mchanganyiko

Chongolo aagiza TAKUKURU kuchunguza ujenzi wa bweni

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amemuagiza Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani humo kufanya uchunguzi wa...

ElimuHabari Mchanganyiko

Ugawaji taulo za kike watajwa kutokomeza utoro shuleni

BAADHI ya wanafunzi na walimu wa shule za sekondari mkoani Geita wamesema zoezi la ugawaji wa taulo za kike kwa ajili ya kuwasitiri...

AFYA

AfyaHabari Mchanganyiko

Vituo 13 vyasitishiwa mkataba madai kutaka kupiga bilioni 4 za NHIF

VITUO vya kutoa huduma za afya 13, vimesitishiwa mikataba ya kutoa huduma...

AfyaHabari za Siasa

Wizara afya kutumia Sh. 1.31 trilioni, huduma za kibingwa zapewa kipaumbele

WIZARA ya Afya, imeliomba Bunge lipitishe makadirio yake ya mapato na matumizi...

AfyaHabari za Siasa

Vifo vitokanavyo na UKIMWI vyapungua

VIFO vinavyosababishwa na Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI), vimepungua kutoka 29,000 (2022)...

AfyaHabari MchanganyikoHabari za Siasa

NBC yazindua kadi uanachama msalaba mwekundu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza Benki...

Afya

Wagonjwa 3,000 kutibiwa bure Ruangwa, wananchi watoa shukrani

  ZAIDI ya wakazi 3,000 wilayani Ruangwa, mkoani Lindi wanaokabiliwa na changamoto...

BIASHARA NA UCHUMI
BiasharaHabari Mchanganyiko

Moduli ya kuwasilisha rufaa za zabuni kieletroniki kuanza Julai

Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imesema moduli ya mfumo mpya wa kuwasilisha na kushughulikia malalamiko na rufaa kwa njia ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Mshindi ‘Wekeza NBC Shambani Ushinde’ akabidhiwa trekta

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imehitimisha msimu wa tatu wa kampeni yake ya ‘Wekeza NBC Shambani Ushinde’ maalum kwa wakulima wa zao...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Hati Fungani ya NMB Jamii yaanza kuuzwa Soko la Hisa London

Benki ya NMB imetanua wigo wa kushiriki katika masoko ya mitaji kimataifa kwa kuiorodhesha Hati fungani ya NMB Jamii (NMB Jamii Bond) katika...

Biashara

Vuna mapene hadi Mil 400 ukicheza Expanse Tournament 

  Promosheni ya kuvuna mahela ya Meridianbet bado inaendelea kusaka washindi, Tsh 400,000,000/= zinakusubiri wewe, huenda unajichelewesha mwenyewe kuwa tajiri. Jisajili Meridianbet kisha...

Biashara

Cheza Meridianbet kasino shinda mamilioni na Hot Shots

  Hii ni kwa wapenzi wa michezo isiyo ya kasino kama vile kubashiri mubashara na kucheza bahati nasibu, ni mchezo wa Hot Shots...

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Kigamboni siku ya Mama Duniani

MABIBGWA wa michezo ya kubashiri kampuni yaMeridianbet imefika kigamboni leo siku ya kina Mama duniani na kufanikiwa kutoa msaada katika Zahanati inayopatikana Mji mwema....

BiasharaHabari Mchanganyiko

PPAA yajipanga kuwanoa wazabuni namna kuwasilisha rufaa kieletroniki

Ili kukabiliana na mageuzi yaliyofanyika katika Sheria mpya ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2023, Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA)...

Biashara

Meridianbet kasino yaja na promo ya mil 200/=

  Kimbunga Hidaya kilikuja na madhara makubwa sana katika maeneo ya ukanda wa pwani hususani Lindi, lakini Kimbunga cha Meridianbet Kasino ya Mtandaoni...

Biashara

Moon of Thoth, historia ya Misri ya kale ilipofichwa ndani ya kasino

  Nchi ya Misri imebeba karibia asilimia kubwa ya mambo ya kale kwenye ulimwengu huu, mambo mengi sana kuhusu historia ya kale ipo...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafugaji kuku Ihemi wanufaika na mafunzo

WADAU  wa mnyororo wa thamani katika sekta ndogo ya kuku wameonesha kuridhishwa  na  mafunzo ya ufugaji kuku kisasa yanayotolewa Kituo cha SilverLands Tanzania...

error: Content is protected !!