Friday , 17 May 2024
HABARI ZA SIASA
Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Udhibiti wa serikali wakera asasi za kiraia

Baadhi ya wadau wa demokrasia na viongozi wa asasi za kiraia nchini, wamekemea tabia ya Serikali kudhibiti asasi hizo katika chaguzi zinazofanyika nchini....

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Nape aomba bajeti ‘kiduchu’ kwa mwaka 2024/25

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye leo Alhamisi ameliomba Bunge kuidhinisha kiasi cha Sh. 180.9 bilioni kwa ajili ya...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Seneta: Wanasiasa hawasaidii mchakato wa Katiba mpya

Seneta wa jimbo la Busia, nchini Kenya, Okiya Okoiti Andrew amesema Tanzania haiwezi kupata Katiba mpya kwa kuwategemea wanasiasa pekee bali kila mwananchi...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

ACT-Wazalendo yasusia uchaguzi wa ubunge Zanzibar

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimegoma kushiriki uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Kwahani, visiwani Zanzibar, ikidai uamuzi huo unatokana na kupuuzwa kwa ushauri wake...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Balozi Amina ataka udhibiti wa utekelezaji wa mwafaka

Mwanasiasa nguli visiwani Zanzibar, Balozi Amina Salum Ali, amesema kuwa kunahitajika mikakati maalumu na vigezo vya kutekeleza na kudhibiti makubaliano ya mwafaka visiwani...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Serikali kupitia upya tozo za madini zinazotozwa na halmashauri

SERIKALI inaendelea na zoezi la kupitia tozo na ushuru wa halmashauri ili kuondoa utitiri wake uliotajwa kuwa mzigo kwa wajasiriamari wadogo hususan wa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mbunge CCM aibana Serikali ukamilishaji miradi kwa bajeti inayofikia ukingoni

MBUNGE wa Hai (CCM), mkoani Kilimanjaro, Saashisha Mafuwe, ameibana Serikali bungeni jijini Dodoma, kuhusu ukamilishaji miradi ya maendeleo ambayo ilipangwa kutekelezwa katika bajeti...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Hatuoni faida ya demokrasia

Mwenyekiti wa Chadema, Fremaan Mbowe amesema Tanzania haijanufaika na miaka 30 ya demokrasia kutokana na mifumo iliyopo kukinufaisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinachoamini...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba ataka wananchi wasiruhusu bakora za Magufuli

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Profesa Ibrahimu Lipumba amewataka Watanzania kuwa vinara katika ujenzi wa demokrasia ili kuepuka bakora zilizotokea miaka...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

CCM yaviita mezani vyama kujadili Katiba, maridhiano

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kipo tayari kukaa meza moja ya mazungumzo na vyama mbalimbali kwa lengo la kufanya mjadala wa Katiba pamoja...

Elimu

Waziri SMZ akoshwa na kazi za Global Education Link

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar SMZ imesema itaendesha msako na kuzifutia usajili wa wakala wa elimu ya nje ambao wanafanya kazi zao kwa ubabaishaji....

ElimuHabari za Siasa

Serikali kuongeza wanufaika mikopo ya elimu ya juu

SERIKALI imesema itaongeza idadi ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu, wenye sifa na uhitaji, kutoka 223,201 waliopata kwenye mwaka wa fedha...

ElimuHabari za Siasa

Serikali kufumua mitaala ya vyuo vikuu, ufundi stadi

SERIKALI inakusudia kufanya mapitio katika mitaala na programu za vyuo vikuu na vyuo vya ufundi stadi ili kuzifanyia maboresho kwa lengo la kuhakikisha...

ElimuHabari Mchanganyiko

Chongolo aagiza TAKUKURU kuchunguza ujenzi wa bweni

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amemuagiza Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani humo kufanya uchunguzi wa...

AFYA

Afya

Mbunge ataka huduma Ultrasound itolewe bure kwa wajawazito

MBUNGE wa Viti Maalum, Esther Malleko, ameitaka Serikali kutoa bure huduma ya...

Afya

Vituo 13 vyasitishiwa mkataba madai kutaka kupiga bilioni 4 za NHIF

VITUO vya kutoa huduma za afya 13, vimesitishiwa mikataba ya kutoa huduma...

AfyaHabari za Siasa

Wizara afya kutumia Sh. 1.31 trilioni, huduma za kibingwa zapewa kipaumbele

WIZARA ya Afya, imeliomba Bunge lipitishe makadirio yake ya mapato na matumizi...

AfyaHabari za Siasa

Vifo vitokanavyo na UKIMWI vyapungua

VIFO vinavyosababishwa na Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI), vimepungua kutoka 29,000 (2022)...

AfyaHabari MchanganyikoHabari za Siasa

NBC yazindua kadi uanachama msalaba mwekundu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza Benki...

BIASHARA NA UCHUMI
Biashara

Simulizi za aladin na jini kutoka Meridianbet kasino ya Rise of the Genie 

  Rise of the Genie ni mchezo wa kasino ya mtandaoni KUTOKA Meridianbet wenye kusisimua kutoka kwa mtoa huduma iSoftBet, ambapo jukumu kuu...

Biashara

Mamlaka ya masoko ya mitaji na dhamana yajivunia maendeleo

  AFISA Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA)Nicodemus Mkama amesema kitendo cha kuorodheshwa kwa hatifungani ya Kijani ya...

Biashara

Anza safari ya mafanikio Meridianbet unapocheza sloti ya Rise of Coins Kasino

“Rise of Coins mchezo wa slotiunaotolewa na mtoa huduma Synot. Katikamchezo huu wa kasino ya mtandaoni, utapatabonasi za kasino. Kuna bonasi ya kamari,...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yaitambulisha rasmi ‘NBC Connect’ Zanzibar

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetambulisha rasmi huduma yake ya kidigitali ya ‘NBC Connect’ Visiwani Zanzibar. Huduma hiyo ya kisasa mahususi kwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yazindua akaunti ya kidijitali kwa wajasiriamali

BENKI ya NMB imezindua akaunti maalum ya kidijitali iitwayo ‘NMB Niwekee,’ inayolenga kuleta ukombozi wa maisha ya baadaye ya watu walio nje ya...

Biashara

EXIM Bank, Msalaba Mwekundu wapanda miti, wachangisha damu

  BENKI ya Exim imeshirikiana na Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS) pamoja na Mpango wa Damu Salama Tanzania (NTBS) kupanda miti na...

Biashara

Maokoto yameongezeka leo kwenye Expanse Tournament kasino

  Maokoto yameongezeka kwenye promosheni ya Expanse inayoendelea kutimua vumbi kupitia Meridianbet Kasino ya mtandaoni, mpaka sasa washindi wanaweza kujinyakulia kitita cha milioni...

Biashara

NBC yatoa vifaa tiba hospitali ya Mpitimbi Songea

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa misaada ya vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya Sh. 11.5 milioni kusaidia kuboresha huduma za...

Biashara

Meridianbet weka pesa na Airtel Money utoboe kibingwa  

  Meridianbet na Airtel Money waja na promosheni mahususi kwa ajiri ya mabingwa wote wanaotumia airtel, hii ni kwa wote wateja wapya na...

Biashara

Mshindi ‘Wekeza NBC Shambani Ushinde’ akabidhiwa trekta

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imehitimisha msimu wa tatu wa kampeni yake ya ‘Wekeza NBC Shambani Ushinde’ maalum kwa wakulima wa zao...

error: Content is protected !!