Sunday , 19 May 2024
HABARI ZA SIASA
Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Wakili Mwabukusi anusurika kufungiwa, asema hatarudi nyuma

WAKILI Boniface Mwabukusi amesema kuwa hatorudi nyuma kuwatetea Watanzania na rasilimali zao licha ya uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Mawakili kumpa onyo...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

RC Chongolo atangaza ‘vita’ kwa wanaovusha wageni kinyemela

KATIKA kulinda usalama wa nchi kupitia mpaka wa Songwe, Mkuu wa mkoa huo, Daniel Chongolo ametangaza ‘vita’ kwa wananchi watakaojihusisha na shughuli za...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

RUWASA yachongewa, yateketeza mamilioni kwa maji yenye magadi

SAKATA la ukosefu wa maji wilayani Momba mkoani Songwe limezidi kushika kasi baada Diwani wa Kata ya Ivuna – Bonde la Kamsamba, Erick...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Lissu akabidhiwa gari lake, aomba msaada wa matengenezo

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu leo Ijumaa amekabidhiwa gari lake aina ya Toyota Land Cruiser V8, VXR na Jeshi la Polisi...

Habari za SiasaTangulizi

Haya hapa majina walioteuliwa kugombea nafasi mbalimbali CHADEMA

CHAGUZI wa kanda za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zimeendelea kupamba moto baada ya Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje,...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Uingereza yamwaga bil. 9 kumuunga mkono Samia matumizi nishati

Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesema jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika kubeba ajenda ya nishati...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe abadili mbinu ya kudai Katiba mpya

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (Chadema), Fremaan Mbowe amebadili mbinu ya kudai Katiba mpya kwa kuwataka Watanzania wote waamue kuingia barabarani kushinikiza kupatikana...

AfyaHabari za Siasa

Serikali yatoa kauli wanaolala nje Hospitali ya Muhimbili

SERIKALI imesema inajipanga kushirikiana na sekta binafsi kujenga majengo yatakayosaidia wananchi wanaotoka mikoani kuja katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuuguza wagonjwa wao,...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Wizara yaomba bajeti ya Sh. 67.9 bilioni, wamachinga watengewa bilioni 10

BAJETI ya Wizara ya maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, kwa 2024/25, inatarajiwa kupungua kwa Sh. 6.3 bilioni, kutoka  Sh. 74.2...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Serikali yahamasisha uanzishaji vituo vya kulea watoto wachanga

SERIKALI imewahimiza wananchi kujenga vituo vya kulelea watoto wadogo na wachanga ambao hawajafikia umri wa kupelekwa shule za awali ili kuwalinda wakati wazazi...

Elimu

Waziri SMZ akoshwa na kazi za Global Education Link

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar SMZ imesema itaendesha msako na kuzifutia usajili wa wakala wa elimu ya nje ambao wanafanya kazi zao kwa ubabaishaji....

ElimuHabari za Siasa

Serikali kuongeza wanufaika mikopo ya elimu ya juu

SERIKALI imesema itaongeza idadi ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu, wenye sifa na uhitaji, kutoka 223,201 waliopata kwenye mwaka wa fedha...

ElimuHabari za Siasa

Serikali kufumua mitaala ya vyuo vikuu, ufundi stadi

SERIKALI inakusudia kufanya mapitio katika mitaala na programu za vyuo vikuu na vyuo vya ufundi stadi ili kuzifanyia maboresho kwa lengo la kuhakikisha...

ElimuHabari Mchanganyiko

Chongolo aagiza TAKUKURU kuchunguza ujenzi wa bweni

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amemuagiza Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani humo kufanya uchunguzi wa...

AFYA

Afya

Kambi ya matibabu ya kibingwa Ruangwa yaacha vilio, DC atoa ombi JAI

MKUU wa Wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma amefunga rasmi kambi maalumu ya...

AfyaHabari za Siasa

Serikali yatoa kauli wanaolala nje Hospitali ya Muhimbili

SERIKALI imesema inajipanga kushirikiana na sekta binafsi kujenga majengo yatakayosaidia wananchi wanaotoka...

Afya

Mbunge ataka huduma Ultrasound itolewe bure kwa wajawazito

MBUNGE wa Viti Maalum, Esther Malleko, ameitaka Serikali kutoa bure huduma ya...

Afya

Vituo 13 vyasitishiwa mkataba madai kutaka kupiga bilioni 4 za NHIF

VITUO vya kutoa huduma za afya 13, vimesitishiwa mikataba ya kutoa huduma...

AfyaHabari za Siasa

Wizara afya kutumia Sh. 1.31 trilioni, huduma za kibingwa zapewa kipaumbele

WIZARA ya Afya, imeliomba Bunge lipitishe makadirio yake ya mapato na matumizi...

BIASHARA NA UCHUMI
Biashara

Meridianbet watoa msaada wa chakula Chamazi

  JUMAMOSI ya leo Meridianbet wametua pale Chamazi Magengeni kwaajili ya kutoa msaada wa vyakula kwa wakazi wa hapo hasa kwa zile familia...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB ‘yafunga ndoa’ na wanawake wanaomiliki shule, vyuo Tanzania

BENKI ya NMB imeingia makubaliano rasmi (MoU) na Chama cha Wanawake Wamiliki wa Shule na Vyuo Tanzania (TAWOSCO), yaliyosainiwa sambamba na uzinduzi wa...

Biashara

Cheza kasino sloti ya Fruit O Rama malipo unayapata kwa njia 10

Karibu kwenye burudani ya kasino ya mtandaoni isiyozuilikayenye kutawaliwa na alama za matunda! Ukipanga alama hizikwa mfululizo kamili wa ushindi, utashinda zawadi zakushangaza....

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yazindua bima ya afya kwa wakulima

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Assemble Insurance imezindua huduma ya Bima ya Afya kwa wakulima...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Total Energies yawekeza bilioni 17 kusambaza gesi ya kupikia

ILI kurahisisha upatikanaji wa gesi ya kupikia kwa gharama nafuu kwa Watanzania, Kampuni ya Total Energies Tanzania imewekeza kiasi cha dola za Marekani...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Taifa Gas waanika mikakati kupunguza gharama za gesi ya kupikia

KATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Taifa Gas imefungua maduka 250...

Biashara

Simulizi za aladin na jini kutoka Meridianbet kasino ya Rise of the Genie 

  Rise of the Genie ni mchezo wa kasino ya mtandaoni KUTOKA Meridianbet wenye kusisimua kutoka kwa mtoa huduma iSoftBet, ambapo jukumu kuu...

Biashara

Mamlaka ya masoko ya mitaji na dhamana yajivunia maendeleo

  AFISA Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA)Nicodemus Mkama amesema kitendo cha kuorodheshwa kwa hatifungani ya Kijani ya...

Biashara

Anza safari ya mafanikio Meridianbet unapocheza sloti ya Rise of Coins Kasino

“Rise of Coins mchezo wa slotiunaotolewa na mtoa huduma Synot. Katikamchezo huu wa kasino ya mtandaoni, utapatabonasi za kasino. Kuna bonasi ya kamari,...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yaitambulisha rasmi ‘NBC Connect’ Zanzibar

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetambulisha rasmi huduma yake ya kidigitali ya ‘NBC Connect’ Visiwani Zanzibar. Huduma hiyo ya kisasa mahususi kwa...

error: Content is protected !!