BIASHARA Benki ya Exim yaadhimisha Miaka 27 ya kuwahudumia watanzania August 15, 2024 Erasto Masalu BENKI ya Exim Tanzania imeadhimisha miaka 27 tangu kuanzishwa kwake katika safari iliyojaa mafanikio, ubunifu, na huduma bora kwa wateja wake. Ikiwa na kaulimbiu ‘Miaka 27 ya Kukupa Kipaumbele’, inaangazia…
HABARI ZA AFYA Wanaume waongoza kwa maambukizi ya M-Pox kupitia ngono August 15, 2024 Erasto Masalu IMEELEZWA kuwa wanaume wanaongoza kwa maambukizi ya ugonjwa wa homa ya nyani (M-Pox) huku wengi wao wakiambukizwa kupitia ngono. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea). Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema…
HABARI MCHANGANYIKO EACOP kuziinua kiuchumi kaya zilizoguswa na mradi bomba la mafuta August 15, 2024 Erasto Masalu MRADI wa bomba la kusafirisha Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) umeanzisha programu ya kuzisaidia kaya ambazo ardhi yao limepita bomba la mradi huu. Lengo la programu hii ni…
SIASA Mabosi TAKUKURU, NIDA, Ikulu waguswa panga pangua ya Samia August 14, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali ikiwemo uteuzi wa katibu tawala wa mkoa na naibu makatibu wakuu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).…
SIASA Samia afagia ofisi ya AG, Hamza amrithi Feleshi August 14, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali ikiwemo wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili Mkuu wa Serikali na Jaji wa Mahakama…
SIASA TANGULIZI Samia apangua tena mawaziri, Kabudi, Lukuvi ndani, Ummy, Kairuki nje August 14, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali ikiwemo mawaziri wanne. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatano na Katibu Mkuu Kiongozi…
BIASHARA Cheza Expanse kasino ushinde mamilioni August 14, 2024 Erasto Masalu Meridianbet wanakwambia ukicheza Expanse Kasino unajiweka sehemu nzuri ya kujishindia maokoto ya kutosha. Jisajili hapa kuwa sehemu nzuri Zaidi ya ushindi. Kupitia shindano la michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka…
SIASA TANGULIZI Mbowe: Viongozi wote Chadema hawataripoti polisi August 14, 2024 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema viongozi wote wa chama hicho hawatokwenda kuripoti polisi kama ambavyo wameelekezwa baada ya kujidhamini wenyewe na wengine kudhaminiwa. Anaripoti…
SIASA TANGULIZI Mbowe: Tutawaburuza mahakamani Sisti Nyahoza, Awadhi Haji August 14, 2024 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema wanatarajia kuwaburuza mahakamani Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo, CP – Awadh Haji pamoja na Msajili msaidizi wa vyama vya…
SIASA Madiwani Moro wazua mzozo kwenye baraza ununuzi greda August 14, 2024 Erasto Masalu MADIWANI wa Halmashari ya Manispaa ya Morogoro wameitaka Halmashauri hiyo kuhakikisha inanunua Greda la kuchonga barabara kabla ya Agosti 30 mwaka huu ili kutowakwamisha kwenye uchaguzi hapo mwakani. Anaripoti Christina…