HABARI MCHANGANYIKO Soko la bidhaa za Halal lazidi kupanuka duniani August 14, 2024 Erasto Masalu UKUBWA wa soko la bidhaa za Halal duniani umeendelea kuongezeka kutoka Dola trilioni 1.2 miaka 10 iliyopita hadi kufikia dola trilioni 2.29 mwaka jana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…
HABARI MCHANGANYIKO RITA yasajili na kutoa vyeti kwa watoto milioni 10 August 14, 2024 Erasto Masalu WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) umesajili zaidi ya watoto milioni 10 kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara, idadi ambayo ni sawa na asilimia 68 ya watoto waliopewa vyeti…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO GGML waanza kutumia umeme wa gridi, kupunguza gharama kwa 92% August 14, 2024 Erasto Masalu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amezindua kituo cha kupokea na kupoza umeme katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (Geita Gold Mining Limited- GGML) chenye uwezo…
Uncategorized NBC yaja na kampeni kuhamasisha kilimo cha kahawa Mbinga August 14, 2024 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetambulisha rasmi kampeni yake ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani’ wilayani Mbinga, mkoani Ruvuma ikilenga kuchochea kasi ya uzalishaji wa zao…
SIASA TANGULIZI Wachambuzi: Siasa za machafuko hazikubaliki TZ August 14, 2024 Erasto Masalu SIKU chache baada ya viongozi wakuu wa Chadema kukamatwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kukaidi agizo la kupiga marufuku kongamano la maadhimisho ya vijana duniani, wachambuzi wa masuala…
HABARI ZA MICHEZO TFF: Wamrudisha Awesu KMC August 14, 2024 Erasto Masalu KAMATI ya Sheria na hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imemaliza utata kwenye Sakata la usajili la mchezaji Awesu Ali Awesu na kueleza kuwa mchezaji…
HABARI ZA MICHEZO Ni Meridianbet tena ndani ya Kijitonyama August 13, 2024 Erasto Masalu Meridianbet tena ndani ya Kijitonyama ndivyo unavyoweza kusema kwakua leo tena wamefanikiwa kufika kwenye eneo hilo na kutoa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu mbili ambazo zinapatikana maeneo hayo.…
HABARI ZA MICHEZO Pesa ipo nje nje ndani ya Meridianbet leo August 13, 2024 Erasto Masalu NDUGU mteja karibu utusue na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet ambapo leo hii kuna mechi kibao za kufuzu ligi ya mabingwa ambazo unaweza kubashiri na kujishindia pesa weka dau…
HABARI MCHANGANYIKO TPA yatoa mil. 260 ukarabati, ununuzi vifaa tiba hospitali ya Temeke August 13, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetoa zaidi ya Sh 260 milioni kwa ajili ya maboresho na ukarabati wa jengo la usafishaji damu kwa wagonjwa wa figo katika Hospitali…
HABARI MCHANGANYIKO TCCIA yataka wadau washiriki mkutano wa Halal kesho August 13, 2024 Erasto Masalu CHEMBA ya Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA), kimetoa wito kwa wafanyabiashara kote nchini kushiriki mkutano utakaotoa elimu ya bure kuhusu namna ya kupata cheti cha Halal kwenye bidhaa zao. Anaripoti…