SIASA TANGULIZI Polisi watii agizo la CCM, Mbowe, wenzake 520 waachiwa kwa dhamana August 13, 2024 Erasto Masalu Jeshi la Polisi limekiri kuwakamata na kuwahoji viongozi wakuu wa Chadema pamoja na wafuasi 520 huku baadhi yao akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe wakiachiwa kwa dhamana. Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO Polisi: Hatujapiga marufuku mikutano ya hadhara August 12, 2024 Erasto Masalu JESHI la Polisi limesema halijapiga marufuku kufanyika mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi. Anaripoti Matilda Peter, Dar es Salaam…
BIASHARA Cheza sloti ya Book of Eskimo SHINDA mamilioni August 12, 2024 Erasto Masalu Maisha yako yapo mkononi mwako, ushindi wa kasino upo kiganjani mwako, cheza sloti ya Book of Eskimo inakupa urahisi wa kuishi kitajiri kwa dau dogo kabisa. Jisajili Meridiabet kuanzisha safari…
BIASHARA Mashabiki wa soka Tanzania kusherehekea EPLna Guinness August 12, 2024 Erasto Masalu BIA rasmi ya Ligi kuu ya Uingereza msimu wa 2024/25, Bia ya GUINNESS kwa kutambua kuwa mpira wa miguu unahusu zaidi mashabiki, wametangaza kushirikiana na Club 1245 ya Masaki Jijini…
BIASHARA NMB kuwanoa wajasiriamali 700, kukabidhi Skuli Kizimkazi Festival 2024 August 12, 2024 Erasto Masalu KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival 2024), imetambulisha rasmi wadhamini wa mwaka huu, ikiwemo Benki ya NMB ambayo pamoja na mambo mengine itawanoa wajasiriamali zaidi ya 700…
HABARI MCHANGANYIKO Dk. Kusiluka aanika mikakati ya vijana kushiriki uchumi kidijitali August 12, 2024 Erasto Masalu SERIKALI ya Tanzania imedhamiria kuhahakikisha Mkakati wa Uchumi wa Kidijiti Tanzania (2024-2034) unapotekelezwa vijana wengi wa Tanzania wanaingia kwenye mifumo ya kidijitali ili wawe sehemu ya uchumi wa dunia wa…
Uncategorized Waziri Chana: Andaeni majina ya watoto kabla ya kuzaliwa August 11, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Dk. Pindi Chana amewataka wazazi kujenga utaratibu wa kuandaa majina ya watoto wao mapema kabla ya kuzaliwa ili kwa haraka waweze kusajiliwa na kupatiwa…
HABARI MCHANGANYIKO NFRA yaja na mfumo wa kidijitali kurahisisha ununuzi wa nafaka kwa wakulima August 11, 2024 Erasto Masalu WAKALA wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) umesema umejipanga kuimarisha vituo vya manunuzi ya nafaka nchini kwa kutumia mfumo mpya wa kidijitali ili kurahisisha manunuzi kutoka kwa wakulima na…
SIASA TANGULIZI Viongozi Chadema wamvaa Samia kamatakamata Bavicha August 11, 2024 Erasto Masalu MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika wamemtaka Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini kusitisha hatua…
BIASHARA Mzuka wa Expanse kasino, unatoa mamilioni August 11, 2024 Erasto Masalu Ongeza Mzuka na michezo ya kasino ya mtandaoni kutokaExpanse, promosheni yenye kutoa Mamilioni kwa wachezajiwote. Jiunge na Meridianbet kasino upate bonasi yaukaribisho ya 300%. Kupitia shindano la michezo ya kasino…