BIASHARA Cheza Spinning Buddha ushinde mamilioni August 10, 2024 Erasto Masalu Spinning Buddha ni sloti ya kasino ya mtandaoni ambayo ina safuwima tano zilizopangwa kwa safu tatu na ina mipangilio 15 isiyobadilika. Ili kupata ushindi wowote unahitaji kulinganisha alama tatu au…
HABARI ZA MICHEZO Manchester Derby ya maokoto leo August 10, 2024 Erasto Masalu Manchester Derby itapigwa leo katika dimba la Wembley wakifungua rasmi pazia la msimu mpya wa 2024/25 kupitia mchezo wa Ngao ya hisani ambao unakutanisha bingwa wa ligi kuu ya Uingereza…
BIASHARA Pilsner Lager’s New Campaign Kicks Off with a Roaring Celebration at the Benjamin Mkapa National Stadium August 10, 2024 Erasto Masalu Where were you last weekend if not at the National Stadium??? On a hot Saturday afternoon, Pilsner Lager, in partnership with Simba Sports Club launched a new campaign “Furahia Kila…
HABARI MCHANGANYIKO Kongamano la kimataifa la Halal kufanyika Dar wiki ijayo August 10, 2024 Erasto Masalu KAMPUNI ya MICO International Halal Bureau Limited, imeandaa kongamano la biashara na wadau wa Hahal litakalofanyika siku ya Jumatano jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ……
BIASHARA Cheza kasino uwe milionea, Maya’s Treasure inalipa August 9, 2024 Erasto Masalu Bilas haka umewahi kuisikia hadithi ya Eldorado. Hadithi ambayo inatoka kwa Wahindi wa Amerika Kusini inasema kwamba Eldorado ni mkoa ambao una utajiri mwingi. Jisajili na Meridianbet kwa ushindi mkubwa.…
HABARI ZA AFYA Madaktari bingwa wa nyonga kutoka India kufanya upasuaji wa magoti na nyonga Dar August 9, 2024 Erasto Masalu DAKTARI bingwa wa upasuaji wa magoti na nyonga kutoka hospitali maarufu diniani YASHODA iliyoko mji wa Hyderabad nchini India, Dk. Ram Mohan Reddy na wenzake, wanatarajiwa kuwasili nchini mwezi huu…
HABARI MCHANGANYIKO Wawili mbaroni kwa mauaji ya bodaboda August 9, 2024 Erasto Masalu JESHI la Polisi mkoa wa Katavi limewakamata watuhumiwa wawili wa mauaji ya dereva bodaboda ambaye anadaiwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali ubavu wa kushoto na mwili wake kutelekezwa barabarani…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Polisi waibuka kutokewa kwa kijana aliyechoma picha ya rais August 9, 2024 Erasto Masalu HATIMAYE Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeibuka na kutoa wito kwa mtu yeyote mwenye taarifa za mahali alipo kijana Shadrack Chaula (24) Mkazi wa Kijiji cha Ntokela Wilayani Rungwe…
ELIMU Global Education Link yatoa Visa 100 kwa wanaokwenda kusoma nje ya nchi August 9, 2024 Erasto Masalu WAKALA wa Elimu Nje ya Nchi, Global Education Link (GEL), imetoa Visa 100 kwa kundi la kwanza la wanafunzi wanaotarajia kuanza kwenda kwenye vyuo vikuu mbalimbali nje ya nchi kuanza…
KIMATAIFA Wagombea uenyekiti AU watajwa, Makamba hayumo August 9, 2024 Erasto Masalu Mataifa ya Kenya, Djibouti, Madagascar na Mauritius yamewasilisha rasmi majina ya watu wanaopendekezwa kuwania uwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC) huku jina la January Makamba likiwekwa kando. Inaripoti…