HABARI MCHANGANYIKO Wakulima waathiriwa mvua ya mawe wapata fidia ya mil. 354 kutoka NBC August 9, 2024 Erasto Masalu Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi hundi yenye thamani ya Sh 354 milioni iliyotolewa na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ikiwa ni fidia kwa wakulima wa zao la tumbaku walioathirika…
SIASA Samia akoshwa NMB kumwaga mikopo ya trilioni 1.6 kwa wakulima August 9, 2024 Erasto Masalu BENKI ya NMB imepandisha kiwango cha mikopo kwa wakulima na wafugaji kutoka Sh 730 bilioni mwaka 2021 hadi Sh 1.6 trilioni mwaka huu 2024 huku ikiweka mkakati wa kuinua sekta…
HABARI ZA MICHEZO Yemi Alade agonga kolabo na Ziggy Marley kwenye ‘Rebel queen’ August 9, 2024 Erasto Masalu STAA wa muziki wa AfroPop Yemi Alade ametoa albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Rebel Queen’ ambayo inapatikana kupitia mtandao wa muziki wa Effyzzie Music. Anaripoti Joseph Shaluwa, Dar…
BIASHARA Cheza na ushinde mamilioni ya Expanse August 8, 2024 Erasto Masalu Expanse na Meridianbet ni mapacha kwa sasa unawezakuvuna Mamilioni kwa kucheza michezo ya kasino kutokaExpanse. Jisajili na Meridianbet kufurahia promoshenikibao Kupitia shindano la michezo ya kasino ya mtandaoni kutokaExpanse, unaweza…
KIMATAIFA TANGULIZI Yunus arejea Bangladesh kuongoza serikali ya mpito August 8, 2024 Erasto Masalu MSHINDI wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Muhammad Yunus amerejea nyumbani Bangladesh leo Alhamisi kuiongoza serikali ya mpito ya taifa hilo la Asia. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endele). Hatua…
HABARI MCHANGANYIKO Serikali yaanza mpango wa kurasimisha upya wamachinga August 8, 2024 Erasto Masalu Serikali imesema inatarajia kuanzisha mfumo utakaowawezesha wafanyabiashara wasio rasmi kutambuliwa ili kuongeza wigo wa ukusanyaji wa mapato ya kodi kwa maendeleo ya nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ……
HABARI MCHANGANYIKO TCB yataja mikakati kuendana na mageuzi ujio wa SGR August 8, 2024 Erasto Masalu KATIKA kuwa sehemu ya mradi wa reli ya kisasa (SGR), Benki ya TCB imeeleza kujivunia kuwa benki mdau namba moja katika mradi huo wa kimageuzi kwa kuwezesha mchakato wa kuagiza…
HABARI MCHANGANYIKO NFRA kununua tani milioni 1.7 za nafaka August 8, 2024 Erasto Masalu WAKALA wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) umesema kuwa umepanga kununua tani 1,750,000 za nafaka mbalimbali kutoka kwa wakulima nchini kwa ajili ya mauzo ya ndani na nje ya…
BIASHARA Mkurugenzi wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) atembelea banda la Serengeti August 8, 2024 Erasto Masalu Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Private Sector Foundation, Raphael Maganga (katikati) alipotembelea banda la Serengeti Breweries Limited kwenye viwanja vya Nane Nane mjini Dodoma kujionea shughuli zinazofanywa na kampuni hio katika…
HABARI MCHANGANYIKO Mtoto alijeruhiwa shingo na house girl aruhusiwa August 7, 2024 Erasto Masalu MTOTO Maliki Hashimu, mkazi wa Goba Jijini Dar es Salaam, aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutokana na majeraha makubwa aliyopata baada ya kukatwa na kitu chenye ncha…