October 16, 2024

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Mkurugenzi wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) atembelea banda la Serengeti

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Private Sector Foundation, Raphael Maganga (katikati) alipotembelea banda la Serengeti Breweries Limited kwenye viwanja vya Nane Nane mjini Dodoma kujionea shughuli zinazofanywa na kampuni hio katika uzalishaji bia kupitia mazao wanayonunua kutoka kwa wakulima nchini. Wa kwanza kulia ni afisa kilimo biashara wa SBL, Aloyce Kimaro na wa kwanza kulia ni Meneja mahusiano ya serikali wa SBL, Neema Temba.

About The Author