HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Aliyemzushia kifo binti aliyebakwa adakwa August 7, 2024 Erasto Masalu JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata na linamuhoji Amos Lutakulemberwa Lwizamiaka 54 mkazi wa Tegeta Wazo Kinondoni kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo kwenye mitandao…
HABARI MCHANGANYIKO Usajili wa televisheni za mtandaoni wapungua August 7, 2024 Erasto Masalu Ripoti ya robo mwaka ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema idadi ya televisheni za mtandaoni nchini imepungua kutoka 231 hadi 215. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).…
KIMATAIFA Walioshona bendera za Urusi wadakwa Nigeria August 7, 2024 Erasto Masalu NIGERIA imewashikilia baadhi ya mafundi cherehani kwa kutengeneza bendera za Urusi ambazo zilipeperushwa wakati wa maandamano ya kuipinga serikali wiki hii katika majimbo ya kaskazini mwa nchi hiyo. Inaripoti Mitandao…
KIMATAIFA Waandamanaji wamteua rais wa muda Bangladesh August 7, 2024 Erasto Masalu MSHINDI wa Tuzo ya Nobel anayejulikana kama “benki kwa maskini” atalenga kuleta utulivu nchini Bangladesh baada ya kuitikia wito wa waandamanaji wanafunzi kumtaka aongoze kwa muda nchi hiyo yenye machafuko…
BIASHARA Cheza sloti ya God Of Coins uwe milionea August 7, 2024 Erasto Masalu KUHUSU kuongeza Pesa zako kwetu ni jumumu letu, cha kufanya sogea pale Meridianbet kasino, kisha cheza michezo ya kasino ya mtandaoni ukiwemo mchezo huu wa God of Coins. Kama bado…
BIASHARA Bei mafuta ya petrol, dizeli yapaa Agosti August 7, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ya petrol na dizeli ya rejareja ambazo zinaonesha kupanda katika mikoa inayochukua mafuta hayo…
BIASHARA Kicheko wakandarasi wazawa kukopa hadi bil. 5 NMB bila dhamana August 7, 2024 Erasto Masalu BENKI ya NMB imezindua maboresho ya huduma za kibenki kwa wakandarasi wazawa kwa kuongeza kiwango cha dhamana za kuombea kazi kutoka Sh. Bilioni 2.5 hadi Sh. Bilioni 5, huku ikiongeza…
HABARI MCHANGANYIKO Shahidi upande wa mashtaka kesi ya kujeruhi apata kigugumizi mahakamani August 6, 2024 Erasto Masalu SHAHIDI Kiran Ratilal wa upande wa mashtaka, amepata kigugumizi kwa kushindwa kueleza mahakama nani aliyetoa rufaa ya yeye kwenda kutibwa katika Hospitali ya Regency kutoka Hospitali ya Mnanzi Mmoja, Dar…
HABARI MCHANGANYIKO Dodoma watembelea miradi ya gesi asilia kwa teknolojia ya uhalisia pepe August 6, 2024 Erasto Masalu MAONYESHO ya Kimataifa ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma yamekuwa ni sehemu ya wananchi kujionea utekelezaji wa miradi mbalimbali katika sekta ya nishati ikiwemo miradi ya gesi…
SIASA TANGULIZI Rais Samia aacha alama ya kipekee Morogoro August 6, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara yake ya siku sita mkoani Morogoro huku akiacha alama kubwa kwa uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo na timu ya wanasheria waliosaidia kutoa msaada…