BIASHARA Cheza sloti ya Pinata Loca uwe tajiri August 6, 2024 Erasto Masalu BARA la Amerika ya Kusini lina nchi nyingi, kuna Brazil, Argentina ya Messi, Uruguay, Chile lakini kuna nchi moja inaitwa Mexico ina balaa sana. Balaa la nchi hiyo sio tu…
HABARI MCHANGANYIKO Wakulima watakiwa kuchangamkia fursa za kibenki kuchangia pato la Taifa August 6, 2024 Erasto Masalu WAKULIMA nchini wameshauriwa kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotolewa na taasisi za kilimo pamoja na kibenki zinazolenga kuwawezesha kukuza mnyororo wa thamani katika sekta na hatimae kuchangia pato la taifa. Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO TPA yawavutia wengi maonesho nanenane Dodoma August 6, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema inayachukulia maonesho ya wakulima maarufu kama ‘Nane nane’ kwa uzito wa kipekee kwani mbali ya kutoa fursa kwa wakulima, wafugaji, wavuvi na…
HABARI MCHANGANYIKO Polisi wahoji maswali 2 watuhumiwa ubakaji wakidakwa August 6, 2024 Erasto Masalu WAKATI Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni akithibitisha kukamatwa kwa watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam, Jeshi…
HABARI MCHANGANYIKO Wakazi Handeni wavutiwa na matumizi ya gesi, wampongeza Rais Samia August 6, 2024 Erasto Masalu WAKAZI wa vijiji vya Msomera na Mkababu wilayani Handeni, Mkoani Tanga wameeleza kuridhishwa na ufanisi wa kampeni ya kumtua mama mzigo wa kuni kichwani iliyoasisiwa na Rais Samia Suluhu kufuatia…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Rais Samia aagiza kiwanda cha tumbaku kuchangia bima ya afya August 6, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan ameuagiza uongozi wa Kiwanda cha Sigara cha Serengeti (SCC) na Kiwanda cha kuchakata Tumbaku (MTPL) mkoani Morogoro kuchangia mpango wa Taifa wa bima ya afya kwa…
KIMATAIFA Washangilia mtaani kukimbia kwa waziri mkuu August 6, 2024 Erasto Masalu MAELFU ya watu wamejimwaga barabarani kusheherekea kujiuzulu kwa waziri mkuu wa Bangladesh, Bi. Sheikh Hasina, kufuatia wiki kadhaa za maandamano mabaya dhidi ya serikali yake. Anaripoti Saed Kubenea … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO Wanasheria ziara ya Rais Samia waendelea kusaidia wananchi wenye shida August 5, 2024 Erasto Masalu WANASHERIA wanaoambatana na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ziara yake ya mkoani Morogoro wameendelea kuwa msaada kwa wananchi kwa kutoa elimu ya sheria na kuchukua changamoto zao kwaajili ya kuzifanyia…
BIASHARA TCB: Tuna imani na uzoefu mkubwa wa Lilian Mtali August 5, 2024 Erasto Masalu MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Tanzania (TCB), Adam Mihayo amesema ana imani na uzoefu mkubwa wa Lilian Mtali ambaye ameteuliwa na benki hiyo kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja Wadogo…
BIASHARA NMB Foundation, ZASCO kuwanoa wakulima wa mwani 1300 Z’bar August 5, 2024 Erasto Masalu ASASI ya NMB Foundation kwa kushirikiana na kampuni ya Mwani Zanzibar (ZASCO) wamezindua mafunzo endelevu kwa wakulima 1,300 wa mwani Unguja na Pemba, ambapo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)…