BIASHARA Safari ya utajiri inaanza leo na Expanse kasino August 5, 2024 Erasto Masalu Meridianbet Kasino inaendelea kufaidisha wateja, kwakucheza michezo ya kasino na sloti unaweza kushindabonasi ya kasino Baab kubwa, jisajili upate bonasi yaUkaribisho kwa asilimia 300% kisha cheza michezo yakasino ya mtandaoni…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Mwabukusi: TLS tunafuatilia binti aliyetendewa ukatili wa kingono August 5, 2024 Erasto Masalu RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amelaani kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia aliofanyiwa binti mmoja mkazi wa Yombo Dovya huku akirekodiwa video na wanaume waliokuwa…
KIMATAIFA M23 wateka mji wa mpakani na Uganda August 5, 2024 Erasto Masalu Waasi wa M23 wamedaiwa kuuteka mji mmoja wa mpakani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo bila mapigano jana Jumapili siku ambayo usitishaji mapigano kati ya DRC na nchi jirani…
SIASA Bashe amvaa Mpina, asisitiza kulinda masilahi August 5, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amemjibu Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina kwamba Serikali itaendelea kulinda masilahi ya wakulima wa miwa katika Bonde la Kilombero ikiwemo haki ya kuendelea kupeleka…
HABARI MCHANGANYIKO Jotoardhi kunufaisha kilimo, ufugaji, wavuvi August 5, 2024 Erasto Masalu MJEOKEMIA Mwandamizi wa Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC), Ariph Ole Kimani amesema uzalishaji wa nishati jadidifu ya Jotoardhi unaondelea kufanyika nchini utaongeza mnyororo wa thamani kwenye sekta ya kilimo,…
SIASA Trilioni 4.42 kujenga vituo 75 vya kupoza umeme August 5, 2024 Erasto Masalu Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia wizara ya nishati kupitia Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kujenga vituo 75 vya kupokea, kupoza na kusambaza umeme kwa…
SIASA TANGULIZI Rais Samia apata muarobaini migogoro ya wafugaji, wakulima August 4, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua Kampeni ya TUTUNZANE MVOMERO 2023-2028 wilayani Mvomero mkoani Morogoro inayohamasisha wafugaji kufanya ufugaji wa kisasa ikiwemo kuwa na maeneo yao ya kulima malisho ili kuondokana…
BIASHARA NMB yaahidi neema wadau sekta ya kilimo August 4, 2024 Erasto Masalu KATIKA kuhakikisha wadau wa sekta ya kilimo wananufaika na kuchangia Pato la Taifa, Benki ya NMB imeahidi kuendelea kutoa elimu, mikopo ya riba nafuu na bima za sekta za uzalishaji…
HABARI MCHANGANYIKO Ziara ya Rais Samia neema kwa wenye matatizo ya kisheria Morogoro August 4, 2024 Erasto Masalu TIMU ya wanasheria wa kampeni ya Mama Samia Legal Aid imeambatana na Rais Samiua Suluhu Hassan kwenye ziara yake ya mkoani Morogoro kwaajili ya kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili…
HABARI MCHANGANYIKO Wananchi wampongeza Rais Samia kwa huduma za msaada wa kisheria bure Nanenane August 4, 2024 Erasto Masalu WANANCHI wanaopata msaada wa kisheria za mama Samia Legal Aid zinazoendelea kutolewa kwenye maonyesho ya Nane nane mkoani Morogoro wameelezea namna walivyonufaika na huduma hizo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro ……