HABARI MCHANGANYIKO WaterAid yawafuta machozi wananchi Hanang August 1, 2024 Erasto Masalu SHIRIKA la WaterAid limekabidhi mradi wa uboreshaji wa huduma za miondombinu ya maji na usafi wa mazingira Wilaya ya Hanang mkoani Manyara uliogharimu Sh million 425 na unalenga kuwafikia wanufaika…
BIASHARA Kuwa sehemu ya mabadiliko, mbio za baiskeli za Vodacom Twende Butiama 2024 August 1, 2024 Erasto Masalu Tanzania inapoelekea kuadhimisha miaka 25 tangu kufariki kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Vodacom Tanzania na Klabu ya Baiskeli ya Twende Butiama wametangaza kufunguliwa rasmi kwa usajili wa mbio za baiskeli…
HABARI MCHANGANYIKO Wakulima wa miwa Kilombero wamgeuka Mpina August 1, 2024 Erasto Masalu Wakulima wa miwa katika Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wamekanusha taarifa zilizotolewa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) na baadhi watu waliodanganya kuwa ni wawakilishi wa wakulima na…
HABARI ZA AFYA Samia apewa tano mapambano kupunguza vifo kina mama na watoto August 1, 2024 Erasto Masalu WANAWAKE wanaojifungua katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, wameishukuru Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuongea idadi ya hospitali na vituo vya afya hatua iliyosaidia kupunguza vifo vya kina…
HABARI ZA AFYA Wananchi Morogoro wapunguziwa mzigo vipimo vya CT-Scan August 1, 2024 Erasto Masalu WANANCHI wa Mkoa wa Morogoro, wameondokana na mzigo wa gharama za kufuata vipimo vya CT-Scan mikoa ya jirani, baada ya Serikali kufikisha huduma hiyo katika hospitali ya mkoa. Anaripoti Mwandishi…
BIASHARA Olympic 2024 yaendelea kutimua vumbi Tanzania matumaini kibao July 31, 2024 Erasto Masalu Michuano ya Olympic 2024 inaendelea nchini Ufaransahuku michezo mbalimbali ikliendelea kutimua vumbi naMeridianbet wameendelea kutoa Odds bomba kupitiamichezo inayochezwa. Tanzania ilifanikiwa kushiriki michezo kadhaa kwenye Olympic mwaka hu ikiwemo Kuogelea,…
BIASHARA Johnnie Walker Gold Label’s Gold Edition Party Lights Up Tips Coco Beach July 31, 2024 Erasto Masalu Last Saturday, we mined gold at the Golden Edition of Johnnie Walker Gold Label X Tips Coco beach X Squishy Life event. The party was nothing short of luxury and…
HABARI MCHANGANYIKO Mtatiro na mwenzake watoa angalizo uchaguzi wa TLS July 31, 2024 Erasto Masalu WAKATI Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, ukitarajiwa kufanyika kesho Ijumaa na kumpata Rais wa kukiongoza chama hicho miaka mitatu, wakili Julius Mtatiro na Ally Kileo wamewachambua…
KIMATAIFA Watoto waliokuwa wanaokota kuni wabaini mafuvu 17 kanisani July 31, 2024 Erasto Masalu Mafuvu ya watu 17 yaliyokuwa yamezikwa ndani ya makasha ya chuma yamefukuliwa katika jengo linalodaiwa kuwa la kuabudia katikati mwa Uganda. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea). Mafuvu hayo yamebainika baada…
KIMATAIFA TANGULIZI Kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ameuawa July 31, 2024 Erasto Masalu TAARIFA iliyotolewa na Hamas imesema kuwa Haniyeh ameuawa katika shambulio lililofanywa na Wazayuni (Israel) mjini Tehran, Iran. Inaripiti Mitandao ya Kimaraifa. Katika taarifa yake Jumatano asubuhi, Hamas ilisema Haniyeh aliuawa…