TAARIFA iliyotolewa na Hamas imesema kuwa Haniyeh ameuawa katika shambulio lililofanywa na Wazayuni (Israel) mjini Tehran, Iran. Inaripiti Mitandao ya Kimaraifa. Katika taarifa yake Jumatano asubuhi, Hamas ilisema Haniyeh aliuawa katika uvamizi wa Israel alipokuwa ziarani Tehran kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Masoud Pezeshkian. Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Iran pia limethibitisha kifo chake Wanajeshi wa Israel na viongozi wakuu ndani ya serikali yake bado hawajajibu madai hayo. Share this… Facebook Pinterest Twitter Linkedin Whatsapp About The Author Erasto Masalu See author's posts Post navigation Maelfu waandamana Venezuela kupinga ushindi wa Rais Maduro Watoto waliokuwa wanaokota kuni wabaini mafuvu 17 kanisani