HABARI ZA AFYA RHMT na CHMT sikilizeni kesro, maoni kutoka kwa wananchi – Dk. Mfaume May 7, 2025 Erasto Masalu MKURUGENZI wa Idara ya Afya Lishe na Ustawi wa Jamii Ofisi ya Rais TAMISEMI Dk. Rashid Mfaume amezielekeza timu za usimamizi wa Afya ngazi ya Mkoa (RHMT) na ngazi ya…
HABARI ZA AFYA Mil 800 kugharamia matibabu ya macho Siha May 7, 2025 Erasto Masalu TAASISI ya Dk. Godwin Mollel kwa kushirikiana na Mo Dewji Foundation zimetoa huduma ya bure ya matibabu ya macho kwa wananchi zaidi ya 3,000 katika Hospitali ya Wilaya ya Siha,…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Samia amteua Twange kuwa bosi Tanesco, ahamisha ma-DC wanne May 6, 2025 Erasto Masalu DK. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewahamisha wakuu wa Wilaya na kumteua Jacob Twange kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Anaripoti Joyce Ndeki,…
ELIMU Saudi Arabia yatoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa Kitanzania May 6, 2025 Erasto Masalu UFALME wa Saudi Arabia umeimarisha uhusiano wake wa kielimu na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fursa nyingi za ufadhili wa masomo kamili kwa wanafunzi wanaotaka kuendelea na masomo…
BIASHARA Mchezo gani wa kasino rahisi kucheza na kula? May 6, 2025 Erasto Masalu MBELE yenu ni mchezo mzuri wa kasino mtandaoni ambapo alama za matunda zitatawala. Lakini matunda sio pekee yatakayokukumbusha. Mashine hii ya matunda itakuletea machache mazuri ya kushangaza. Njoo ujifurahishe kupitia…
BIASHARA Bingwa kutoka Meridianbet ajishindia zaidi ya milioni 50 May 6, 2025 Erasto Masalu NDUGU mteja wa Meridianbet wikendi hii Meridianbet ilimpata mshindi wa wikendi iliyopita ambaye ameweza kushtua wengi kwa kupiga mshindo mkubwa wa maana kabisa kwenye mechi zake 13. Mshindi huyu anaitwa…
HABARI MCHANGANYIKO Wadau Afrika Mashariki wakutana katika kongamano la Nishati Safi May 6, 2025 Erasto Masalu WADAU mbalimbali kutoka Nchi za Afrika Mashariki wamekutana jijini Arusha katika Kongamano la kwanza Nishati Safi ya Kupikia la Afrika Mashariki linalolenga kujadili masuala mbalimbali yatakayowezesha Jumuiya hiyo kuondokana na…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Mahakama yaiamuru Serikali kumfikisha Lissu mahakamani May 6, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekubali ombi la mawakili wa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) la kusikiliza shauri la uchochezi linalomkabili mahakamani hapo kwa njia…
HABARI MCHANGANYIKO Rais Samia akabidhiwa medali ya Mother of the Nation Order May 6, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mtukufu Sheikh…
HABARI MCHANGANYIKO Magereza waipongeza REA kuhamasisha nishati safi May 6, 2025 Erasto Masalu WAKALA wa Nishati Vijijini (REA), umepongezwa na Jeshi la Magereza kwa kuhamasisha, kuwezesha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa taasisi zinazohudumia watu zaidi ya 100 hapa nchini. Anaripoti Joyce…