KIMATAIFA SIASA TANGULIZI Bunge la Ulaya laitaka Tanzania kumuachia huru Lissu May 8, 2025 Erasto Masalu BUNGE la Ulaya limeitaka Serikali ya Tanzania kumfutia mashtaka na kumuachia huru Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), pamoja na kurejesha ushiriki wa chama hicho kwenye…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Chatanda ashuhudia utiaji saini wa Bil 13.3 kuboresha miundombinu Rufiji May 8, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa UWT Taifa, Mary Pius Chatanda ameshuhudia utiaji saini wa mikataba mitano ya Sh. 13.3 bilioni zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan ili kuboresha miundombinu ya barabara na madaraja…
BIASHARA Tata yaja na mpango wa kusafirisha mizigo mikubwa, wakulima watajwa kunufaika May 8, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya magari ya TATA Tanzania imezindua mpango maalum kwa ajili ya sekta ya usafirishaji wa mizigo mikubwa nchini kwa kuzindua Trela za mizigo aina ya ‘Tiva Trela’ ili kumrahisishia…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO NBC yaitambulisha “NBC Shambani’’ kwa wakulima wa Ufuta Pwani May 8, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), imetambulisha kampeni yake ya ‘Wekeza NBC Shambani Ushinde’ kwa wakulima wa zao la ufuta mkoa wa Pwani ikiwa ni muendelezo wa jitihada za benki…
BIASHARA Meridianbet yazindua “GIFT WEDNESDAY” shinda Samsung A25 mpya kila wiki May 7, 2025 Erasto Masalu Meridianbet inafuraha kutangaza promosheni yake mpya ijulikanayo kama Gift Wednesday, inayowapa wateja nafasi ya kushinda moja kati ya simu nne mpya aina ya Samsung A25 kila wiki katika mwezi. Maelezo…
BIASHARA Njia za kushinda kasino kirahisi ni hizi May 7, 2025 Erasto Masalu Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kila siku inakuletea sloti na michezo mingi ya kasino inayokupa nafasi ya kushinda kirahisi huku unaburudika. Sloti kama Circus Fever Deluxe kutoka watengenezaji wa Expanse…
HABARI ZA AFYA Serikali kukarabati vituo konhwe vya huduma ya afya May 7, 2025 Erasto Masalu SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais – TAMISEMI imesema itaendelea kukarabati hospitali zote Kongwe kupitia mpango mkakati wa ukarabati, na upanuzi wa hospitali kongwe za halmashauri ,vituo vya afya Pamoja na…
SIASA TANGULIZI G55 watimka Chadema May 7, 2025 Erasto Masalu KUNDI la watia nia 55 wa ubunge maarufu kama G55 wametangaza kujiondoa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutokana na malalamiko ya chama kukosa usawa. Anaripoti Joyce Ndeki, Dar…
BIASHARA ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Puma Energy Tanzania yakabidhi zawadi shindano la uchoraji kampeni ya Usalama Barabarani Mashuleni May 7, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya Puma Energy Tanzania kwa kushirikiana na shirika la Amend Tanzania wamekabidhi zawadi kwa washindi wa shindano la usalama barabarani ambalo ni sehemu muhimu ya programu ya ‘Be Road…
HABARI MCHANGANYIKO DC James ahamasisha wananchi kujiakindisha, kuboresha taarifa zao May 7, 2025 Erasto Masalu MKUU wa wilaya ya Iringa, Kheri James amewahimiza wananchi wilayani humo kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye daftari la kudumu la mpiga kula kwa awamu ya pili ili kuwa na…