HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Mvua zavuruga usafiri wa SGR December 31, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya reli ya taifa (TRC), imesitisha safari zake za treleni ya kisasa, maarufu kama SGR, kati ya Dodoma na Morogoro, kuanzia leo, tarehe 31 Desemba 2025. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Mwaka mpya umeanza kwa kishindo December 31, 2025 Erasto Masalu SHEREHE za kuukaribisha mwaka mpya tayari zimeanza katika baadhi ya maeneo ya ulimwenguni, huku mataifa ya Pasifiki yakiongoza kuingia mwaka 2026 kabla ya sehemu nyingine za dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
HABARI ZA MICHEZO Usikose nafasi ya ushindi na Meridianbet leo December 31, 2025 Erasto Masalu Leo hii ni fursa nzuri kwako wewe mteja wa Meridianbet kuondoka na ushindi mnono kwenye mechi za leo. Michuano ya AFCON na mechi za ligi mbalimbali itakuwa ikiendelea. Tandika jamvi…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Meridianbet yaleta mwanga wa mwisho wa Mwaka kwa akina kama Palestina hospitali December 31, 2025 Erasto Masalu Mwisho wa mwaka huu umejawa na tabasamu kwa akina mama wajawazito na waliokamilisha uzazi hivi karibuni katika Hospitali ya Palestina, Sinza, Dar es Salaam, baada ya kupokea msaada wa Mama…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Matukio 5 yakukumbukwa na kutikisa zaidi 2025 December 31, 2025 Erasto Masalu KILA mwaka mpya unapoanza, nuru mpya huchomoza ikiashiria mwanzo wa safari ya matumaini kwa siku 365 ikisheheni malengo na ndoto zinazotarajiwa kutimizwa. Licha ya ndoto na malengo hayo, kila siku,…
HABARI ZA MICHEZO TANGULIZI Taifa Stars yafuzu 16 Bora AFCON December 30, 2025 Erasto Masalu TANZANIA imeandika historia mpya kwenye michuano ya AFCON 2025. Ni baada ya kufuzu hatua ya 16 bora, kupitia nafasi ya timu bora zilizomaliza nafasi ya tatu. Hatua hiyo, imethibitisha kuwa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI OMO agoma kuingia katika serikali ya Zanzibar December 30, 2025 Erasto Masalu OTHMAN Masoud ‘OMO’ Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo amegoma kujiunga kwenye serikali ya umoja wa kitaifa (SUK), visiwani Zanzibar kama makamu wa kwanza wa Raisn katika serikali hiyo, MwanaHALISI imeelezwa.…
KIMATAIFA M23 yajipanga kuangusha serikali DRC December 30, 2025 Erasto Masalu CORNEILLE Nangaa, kiongozi wa muungano wa waasi wa AFC/M23, amesema kuwa kundi lake limepanga kushinda vita, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ……
HABARI ZA MICHEZO Tusua kibabe na Meridianbet mechi za leo December 30, 2025 Erasto Masalu Je unajua kuwa leo hii unaweza ukaondoka na mkwanja mrefu sana ukibashiri na Meridianbet mechi zote zinazoendelea?. Nafasi ndio hii leo ingia kwenye akaunti yako na uanze safari ya ushindi…
BIASHARA Cheza sasa au uachwe nyuma, Meridian Panda Deluxe inakimbiza December 30, 2025 Erasto Masalu Huu sio mchezo wa kuangalia, huu ni mchezo wa kushiriki. Meridianbet wameileta rasmi Meridian Panda Deluxe, sloti mpya inayokuweka moja kwa moja kwenye msitu wa ushindi ambako kila mzunguko una…