HABARI ZA MICHEZO Ushindi upo nje nje siku ya leo na Meridianbet December 29, 2025 Erasto Masalu Wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa leo hii ipo kwaajili ya kuhakikisha hawakuachi patupu. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi za leo hivyo bashiri sasa. Kama kawaida michuano ya AFCON…
BIASHARA Paa na kindege cha Aviator, jishindie Samsung A26 na Meridianbet December 29, 2025 Erasto Masalu Mabingwa wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, wameleta furaha kubwa kwa wateja wao. Kupitia mchezo maarufu wa kupaisha kindege cha Aviator, sasa unaweza kujishindia simu mpya ya kisasa aina…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI TMA yatangaza mvua kubwa zitakuja, mikoa 14 kuathirika December 29, 2025 Erasto Masalu MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mifumo ya hali ya hewa iliyopo kwa sasa inaonesha kuendelea kuimarika kwa ukanda wa mvua, hali inayosababisha kuendelea kushuhudiwa kwa vipindi vya…
HABARI MCHANGANYIKO TRC yaomba radhi na kuongeza safari za SGR December 29, 2025 Erasto Masalu SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limeomba radhi abiria wote wanaotumia huduma za usafiri wa reli zake za MGR na SGR kufuatia usumbufu walioupata abiria waliotumia usafiri wa reli siku ya…
HABARI MCHANGANYIKO Mwigulu akagua uzalishaji na usambazaji maji Ruvu chini December 29, 2025 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu Mwigulu Nchemba leo tarehe 29 Desemba 2025 amekagua hali za uzalishaji na usambazaji wa maji eneo la Ruvu Chini, mkoani Pwani. Anaripoti Zakia Nanga, Pwani … (endelea). Akizungumza…
BIASHARA HABARI ZA MICHEZO SMZ yapongeza udhamini mnono wa NMB Mapinduzi Cup December 28, 2025 Erasto Masalu SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeipongeza Benki ya NMB kwa kusaini mkataba mnono wa udhamini wa Mashindano ya Mapinduzi Cup , unaobadili rasmi jina la michuano na sasa kuitwa…
BIASHARA Meridianbet kuleta mchezo unaozungumza kwa vitendo ni Meridian Panda Deluxe December 28, 2025 Erasto Masalu Meridian Panda Deluxe imebeba falsafa tofauti ya sloti, ambapo ubunifu unaonekana katika mpangilio wake rahisi lakini wenye mvuto. Ubao wa 3×3 hauonekani kama kizuizi, bali kama nafasi iliyo wazi kwa…
HABARI ZA MICHEZO Butua maokoto na Meridianbet leo December 28, 2025 Erasto Masalu Leo hii ni siku nzuri sana kwako mteja wa Meridianbet kwani mechi za Ligi mbalimbali na zile za AFCON zipo kwaajili ya kuhakikisha huondoki patupu. Weka dau lako na uanze…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Dk. Mohamed aendeleza mageuzi katika jamii ya Mtambwe December 28, 2025 Erasto Masalu MWAKILISHI wa Jimbo la Mtambwe, Dk. Mohamed Ali Sleiman, ameendelea kuonesha ubora na uongozi wenye maono kwa vitendo, kupitia kusaidia upatikanaji wa mradi wa ujenzi wa nyumba 15 za makazi…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Maaskofu Kanisa Katoliki wazidi kucharuka December 28, 2025 Erasto Masalu ASKOFU Kanisa Katoliki, Jimbo la Kayanga, mkoani Kagera, Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, amewakemea watu na makundi katika jamii ya leo yanayotumia nguvu, risasi na mabomu ya machozi kwa sababu ya…