BIASHARA Namba 20 zinakupa ushindi kasino ya Extra Bingo!! January 3, 2025 Erasto Masalu Hapa tena Meridianbet kasino ya mtandaoni tunakuletea mchezo wa namba wenye bonasi kubwa na rahisi kucheza, mchezo wa keno ni moja ya michezo pendwa inayopatikana Meridianbet. Extra Bingo ni mchezo…
KIMATAIFA TANGULIZI Maafisa Korea Kusini wajaribu kumkamata Rais Yoon January 3, 2025 Erasto Masalu MAOFISA wa usalama nchini Korea Kusini, wamefanikiwa kuingia katika makazi ya rais mapema leo Ijumaa, wakijaribu kumkamata kiongozi aliyeondolewa madarakani Yoon Suk Yeol. Anaripoti Sylvia Mwehonzi wa DW…(endelea). Maofisa hao…
HABARI ZA MICHEZO Haya hapa maajabu ya Nottingham Forest January 2, 2025 Erasto Masalu Timu ya Nottingham Forest nchini Uingereza imeendelea kufanya vyema kabisa msimu huu chini ya kocha mkuu Nuno Espirito Santo kwa kufanya historia mpya kwa kushika nafasi ya tatu kwenye msimamo…
BIASHARA Meridianbet kuanza kazi Brazil January 2, 2025 Erasto Masalu Meridianbet, moja ya waendeshaji wakuu wa kimataifa wa michezo ya kubashiri na michezo ya mtandaoni na sehemu ya Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), sasa imepata rasmi leseni ya kubashiri mtandaoni…
MAKALA & UCHAMBUZI Nani kuwa mrithi wa Kinana CCM? January 1, 2025 Erasto Masalu NANI atakuwa makamu mwenyeki ti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara ni swali ambalo limeku wa likiulizwa na makada wa CCM na hata wafuatiliaji wa karibu wa siasa nchini,…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Shangwe la Mwaka Mpya 2025: Bei za mafuta zaendelea kushuka January 1, 2025 Erasto Masalu WATUMIAJI wa bidhaa za mafuta ya petroli nchini wameuanza mwaka mpya wa 2025 kwa shangwe ya kuendelea kupata unafuu bei za bidhaa hizo kwa mwezi Januari 2025. Aanaripoti Mwandishi Wetu,…