HABARI ZA AFYA Dar yatakiwa kujenga vituo vya Afya jwa ghorofa May 6, 2025 Erasto Masalu DK. Rashid Mfaume, Mkurugenzi wa Idara ya Afya Lishe na Ustawi wa Jamii Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema kutokana na uhaba wa maeneo katika Jiji la Dar es Salaam ni…
KIMATAIFA Waziri Mkuu wa Romania ajiuzulu May 6, 2025 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu wa Romania Marcel Ciolacu amejiuzulu jana jioni, siku moja baada ya mwanasiasa wa upinzani wa mrengo mkali wa kulia kushinda duru ya kwanza ya uchaguzi wa marudio wa…
KIMATAIFA Mawaziri Ghana mtegoni, watishia kufutwa kazi May 6, 2025 Erasto Masalu JOHN Mahama, Rais wa Ghana amewaonya mawaziri na wateule wengine zaidi ya 40 wa serikali yake kuwa watafutwa kazi ikiwa watashindwa kuweka wazi mali wanazomiliki ifikapo kesho Jumatano ya tarehe…
BIASHARA Meridianbet yazindua “Gates of Olimpia” – Sloti mpya kutoka Expanse Studios May 5, 2025 Erasto Masalu MERIDIANBET inayo furaha kubwa kutangaza uzinduzi wa mchezo mpya wa slot unaochukua wachezaji katika safari ya kimungu isiyosahaulika. “Gates of Olimpia”, kazi mpya ya kipekee kutoka kwa Expanse Studios, sasa…
HABARI MCHANGANYIKO Serikali yazidi kuwekeza sekta ya madini May 5, 2025 Erasto Masalu KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania amesema kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Dk. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeamua kuwekeza kwenye sekta…
KIMATAIFA Trump asema hatawania urais kwa muhula wa tatu May 5, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Marekani, Donald Trump amekanusha madai yanayodai anafikiria kugombea muhula wa tatu wa urais, hatua ambayo wataalamu wanakubali kuwa ni marufuku kwa mujibu wa Katiba ya Marekani. Inaripoti Mitandao…
HABARI MCHANGANYIKO Barabara ya Mabogini-Kahe kujengwa kwa kiwango cha lami May 5, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa leo amekagua uharibifu wa barabara ya Spencon- Fongagate- Mabogini- Chekereni hadi Kahe yenye urefu wa kilomita 31.25 na kuiagiza Wakala ya…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Serikali itachukua hatua kwa waliomshambulia Padri Kitima May 4, 2025 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango amesema kuwa, serikali kupitia vyombo vya dola tayari imeshatoa maelekezo ya wale wote waliohusika kwenye shambulizi dhidi ya Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki…
HABARI ZA MICHEZO Bahati yako ya kuwa mshindi ipo hapa May 4, 2025 Erasto Masalu Mechi kali leo hii Duniani zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za…
Uncategorized EXIM yatangaza mafanikio makubwa na mwelekeo madhubuti 2025 May 4, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Exim Tanzania imeanza mwaka kwa mafanikio makubwa, baada ya kuhitimisha robo ya kwanza ya mwaka 2025 kwa matokeo chanya yanayoonesha kasi ya ukuaji, ufanisi wa utendaji na jitihada…