HABARI ZA MICHEZO Ondoka na maokoto na Meridianbet leo May 3, 2025 Erasto Masalu Kama kawaida ni Jumamosi nyingine ya kutengeneza pesa na wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet. Mechi zote kuanzia EPL mpaka kule Ufaransa zinapigwa, hivyo ingia kwenye akaunti yako na upige pesa…
BIASHARA Sloti ya Wild 27 kasino ya mtandaoni May 3, 2025 Erasto Masalu Kama unapenda sloti za matunda, basi chaguo lako limepata kiburudisho chenye hisia kali kiasi kwamba huwezi kusubiri kupoteza hata dakika moja bila kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Wild 27…
BIASHARA Njia 243 za kuwa tajiri kwenye sloti ya ODD ONE OUT May 2, 2025 Erasto Masalu Wakati ambao wengi wanasubiri kuanza kwa msimu mpya wa Ligi duniani kote, wajanja wanazidi kupiga pesa kirahisi Zaidi, na Sloti ya ODD ONE OUT. Jisajili hapa kisha upate bonasi ya…
HABARI ZA MICHEZO Piga mshiko wa maana leo May 2, 2025 Erasto Masalu Ijumaa ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Tukianza…
HABARI MCHANGANYIKO Waandishi wa habari wapikwa kuelekea Uchaguzi Mkuu May 2, 2025 Erasto Masalu MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umewakumbusha waandishi wa habari nchini wajibu wao kwa umma, ikiwa pamoja na kupanga ajenda zenye maslahi ya umma. Anaripoti Joyce Ndeki,…
BIASHARA NBC yashiriki Mei Mosi Singida, yasisitiza kuwafikia wafanyakazi May 1, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) leo imeungana na maelfu ya wafanyakazi kote nchini kusherekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, MEI Mosi ambayo kitaifa yamefanyika kwenye Viwanja vya Bombadia…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Padre Kitima amuibua Mbatia May 1, 2025 Erasto Masalu KUSHAMBULIWA kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC), Dk. Charles Kitima, kumemuibua James Mbatia, mmoja wa wanasiasa wa siku nyingi nchini. Anaripoti Faki Sosi, Dar es…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Serikali yawaongezea mshahara wafanyakazi May 1, 2025 Erasto Masalu DK. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameongeza mshahara kwa wafanyakazi wa Umma wenye kima cha chini cha mshahara kwa asilimia 35.1 na nyongeza hiyo itaanza…
HABARI MCHANGANYIKO Luhemeja ataka Afrika yenye kukabili mabadiliko ya tabianchi May 1, 2025 Erasto Masalu KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja ametoa wito kwa Mataifa ya Afrika kuwa na umoja wenye sauti moja yenye nguvu ili kuwa na sauti moja katika…
KIMATAIFA Mbunge auawa kwa kupigwa risasi May 1, 2025 Erasto Masalu MBUNGE mmoja nchini Kenya ameuawa kwa kupigwa risasi na mtu asiyejulikana. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …(endelea). Charles Ong’ondo Were alikuwa ametoka bungeni muda mchache tu kabla ya kushambuliwa akiwa ndani…