SIASA Tanzania yakanusha ukiukwaji wa Sheria kesi ya Tundu Lissu May 1, 2025 Erasto Masalu SERIKALI ya Tanzania imesema hakuna sheria iliyokiukwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam ilipoamua kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Mtu mmoja mbaroni kwa kushambuliwa Padri Kitima May 1, 2025 Erasto Masalu JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia kwa Kamanda wake, Muliro Jumanne limesema limemkamata mtu mmoja kwa tuhuma za kumshambulia Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Padri…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI John Mrema avuliwa uanachama Chadema April 30, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemvua uanachama John Mrema aliyekuwa Mkurugenzi wa Uenezi wa Chadema na ambaye sasa anajitambulisha kama Msemaji wa G55. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Mwanza mbioni kuzalisha vyanzo vipya vikubwa vya kodi April 30, 2025 Erasto Masalu MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Saidi Mtanda amsema kutokana na miradi mikubwa ya kimkati inayoendelea mkoani humo anatajia vyanzo vipya vya kodi vitazaliwa na kuifanya mwanza kuwa na mchango mkubwa…
BIASHARA Shinda simu mpya ya kisasa na MERIDIANBET! April 30, 2025 Erasto Masalu Meridianbet inazidi kuwapa wateja wake burudani ya kipekee! Sasa unayo nafasi ya kipekee ya kuondoka na moja kati ya Samsung A25 mpya kabisa (5x) kupitia promosheni ya kusisimua: Jisajili, Weka…
KIMATAIFA Kardinali Becciu ajiondoa kumchagua Papa mpya April 29, 2025 Erasto Masalu KARDINALI Giovani Angelo Becciu wa Serdegna ametangaza kujitoa kushiriki kwenye mkutano wa uchaguzi wa Papa mpya unaotarajia kufanyika tarehe 7 Mei 2025. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Kardinali Giovani…
BIASHARA Shinda mamilioni kwa kucheza kasino na sloti ya Sticky 777. April 29, 2025 Erasto Masalu MOJA kati ya biashara nzuri na yenye mtaji mdogo ni uuzaji wa matunda, huhitaji kuwa na mamilioni ufanye uwekezaji bali unahitaji akili tu ya namna ya kuweka dau lako. Meridianbet…
HABARI MCHANGANYIKO Majaliwa awashauri waandishi kutumia Akili Mnemba April 29, 2025 Erasto Masalu WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Waandishi wa Habari nchini kutumia Akili Mnemba (Artificial Inteligence) kama nyenzo ya kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na sio kikwazo cha uhuru wao.…
KIMATAIFA Amnesty yakosoa hatua za Trump akitimiza siku 100 madarakani April 29, 2025 Erasto Masalu SHIRIKA la Kimataifa la Kutetea Haki za Binaadamu la Amnesty International limetoa ripoti yake ya kila mwaka na kukosoa vikali hatua za rais wa Marekani, Donald Trump ambaye ametimiza siku…
KIMATAIFA TANGULIZI Mume wa Marehemu mwimbaji wa Injili ahukumiwa kunyongwa April 29, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu ya Abuja nchini Nigeria imemhukumu Peter Nwachukwu, mume wa aliyekuwa mwimbaji maarufu wa injili Osinachi, kunyongwa mpaka kufa baada ya kupatikana na hatia ya mauaji. Inaripoti Mitandao ya…