KIMATAIFA Matumizi ya kijeshi yaongezeka duniani kwa kiwango kikubwa April 28, 2025 Erasto Masalu MATUMIZI ya kijeshi ulimwenguni yameongezeka kwa kiwango kikubwa zaidi tangu kumalizika kwa Vita Baridi na kufikia dola 2.7 trilioni. Migogoro inayoongezeka duniani ndiyo inayochochea matumizi hayo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…
KIMATAIFA Makardinari kuchagua Papa mpya April 28, 2025 Erasto Masalu MAKARDINALI kutoka nchi mbalimbali ulimwenguni waliokusanyika mjini Vatican tangu kifo cha Papa Francis wanatarijiwa kukutana na kupanga tarehe rasmi ya kumpata Papa atakayekuwa kiongozi wa waumini wa Kanisa Katoriki duniani.…
BIASHARA Meridianbet yafika Mtoni na kugawa vifaa vya michezo April 28, 2025 Erasto Masalu Meridianbet imetoa msaada wa jezi na mipira kwa timu mbili za mpira wa miguu za wanawake, Mtoni Queens na Sabasaba Queens, ikiwa ni sehemu ya shughuli zake za Uwajibikaji kwa…
KIMATAIFA Kesi ya Israel kuanza kusikilizwa April 28, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA ya juu ya Haki ya Umoja wa Mataifa hii leo imeanza kusikiliza madai kuhusiana na wajibu wa Israel katika kuhakikisha na kuwezesha uingizwaji wa msaada wa kibinadamu. Inaripoti Mitandao…
KIMATAIFA Trump: Rais wa Ukraine ana nia ya makubaliano April 28, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Marekani Donald Trump amesema kwa sasa Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anaonekana kuwa mtulivu na mwenye nia ya kutaka kufikia makubaliano ya amani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa ……
KIMATAIFA Rwanda yawakamata maafisa sekta ya Madini April 28, 2025 Erasto Masalu RWANDA imewashikilia maafisa watatu wakuu wa Bodi ya Migodi, Petroli na Gesi, nchini humo pamoja na wafanyabiashara wanne wanaoshukiwa kuhusika na rushwa na matumizi mabaya ya mamlaka. Inaripoti Mitandao ya…
KIMATAIFA Mwanamke aishi hospitalini miaka 45 kwa kimakosa April 28, 2025 Erasto Masalu MWANAMKE mmoja mwenye usonji na ulemavu wa kujifunza, ambaye ni raia wa Sierra Leone na alipewa jina la Kasiba na mamlaka za eneo kwa usalama wake, adaiwa kuzuiliwa kimakosa katika…
BIASHARA Shinda simu mpya za kisasa na Meridianbet April 27, 2025 Erasto Masalu Meridianbet inazidi kuwapa wateja wake burudani ya kipekee! Sasa unayo nafasi ya kipekee ya kuondoka na moja kati ya Samsung A25 mpya kabisa (5x) kupitia promosheni ya kusisimua: Jisajili, Weka…
HABARI ZA MICHEZO Zaidi ya mamilioni kutolewa na Meridianbet leo April 27, 2025 Erasto Masalu Je unajua kuwa zaidi ya Mamilioni ndani ya Meridianbet yanatarajiwa kutolewa siku ya leo?. Ili kujua basi bashiri hapa mechi zote za ligi mbalimbali na uweke dau lako uamke tajiri…
BIASHARA Mchezo bora wa kuzungusha gurudumu la namba moja American Roulette April 26, 2025 Erasto Masalu DK, Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo wa Roulette ambapo yeye binafsi alikuwa akifika kwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia kwa kuogopa kupunwa pesa zao. Jamaa alifariki akiwa na miaka…