BIASHARA 420 Blaze It chimbo jipya la kuchota mihela Meridianbet kasino April 26, 2025 Erasto Masalu Je, umewahi kucheza mchezo wa droo wenye droo 10? Ikiwa hujawahi, sasa unapata nafasi kamili ya kufanya hivyo. Kupitia Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kuna furaha inakusubiri kupitia droo moja tu…
SIASA TANGULIZI OMO miaka 61 ya Muungano Zanzibar inakandamizwa April 26, 2025 Erasto Masalu WAKATI Tanzania ikiadhimisha miaka 61 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar, Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amesema ipo haja ya kufanyika kwa mabadikiko mkubwa…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Shirika la Amnesty kuchunguza matukio ya wafuasi wa Chadema kupigwa Kisutu April 25, 2025 Erasto Masalu SHIRIKA la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, limekutana na kufanya mahojiano na baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambao walijeruhiwa mara baada ya…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Mahakama: Kesi ya Lissu kuendelea kusikilizwa kwa njia ya mtandao April 25, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema hakuna sheria yoyote iliyokiukwa wala kuvunjwa kwa kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu kusikilizwa kwa njia…
HABARI ZA MICHEZO Nani kumfunga paka kengele Jumanne & Jumatano? April 25, 2025 Erasto Masalu Je unajua kuwa wiki ijayo kinawaka vibaya mno kwenye usiku wa Ulaya?. Basi safari hii ni zamu yako kutusua na Meridianbet kwani Arsenal, Barcelona, Inter na PSG watashuka dimbani kupepetana…
KIMATAIFA Marekani kumkamata Traoré? April 25, 2025 Erasto Masalu KATIKA hali isiyo ya kawaida, jina la Kapteni Ibrahim Traoré, kiongozi kijana wa Burkina Faso anayejitambulisha kama mpigania haki za Waafrika, limeingia katika vichwa vya habari vya dunia, si kwa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Tundu Lissu agoma kusikiliza kesi yake kwa njia ya mtandao April 24, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amegoma kusomewa maelezo ya awali katika kesi kusambaza taarifa za uongo mtandaoni kwa njia ya mtandao ‘video conference’. kutokea katika…
BIASHARA Jisajili, weka amana na cheza, shinda Samsung A25 mpya kabisa April 24, 2025 Erasto Masalu Meridianbet inazidi kuwapa wateja wake burudani iliyojaa nafasi za ushindi wa kweli! Kupitia promosheni yao mpya kabambe, Meridianbet inakupa nafasi ya kushinda moja kati ya simu 5 mpya za Samsung…
HABARI ZA MICHEZO Chukua mkwanja wako mapema na Meridianbet April 24, 2025 Erasto Masalu ALHAMISI ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Vijana…
BIASHARA ELIMU Exim yakabidhi madarasa kwa shule mbili za Sekondari Kigoma April 23, 2025 Erasto Masalu KATIKA juhudi za kuboresha miundombinu ya sekta ya elimu nchini Tanzania, Benki ya Exim Tanzania imekabidhi rasmi madarasa kwa shule mbili za sekondari wilayani Buhigwe katika mkoa wa Kigoma. Shule…