SIASA TANGULIZI Mahakama Kisutu yaombwa kutoa spika nje kwenye kesi ya Lissu April 23, 2025 Erasto Masalu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kutoa spika nje kwa ajili Watanzania watakaokosa nafasi kwenye chumba cha mahakama kwa…
BIASHARA Mchezo bora wa kuzungusha gurudumu la namba American Roulette April 22, 2025 Erasto Masalu DK. Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo wa Roulette ambapo yeye binafsi alikuwa akifika kwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia kwa kuogopa kupunwa pesa zao. Jamaa alifariki akiwa na miaka…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Heche akamatwa na Polisi Kariakoo April 22, 2025 Erasto Masalu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amekamatwa na Jeshi la Polisi Mkunguni Kariakoo Jijini Dar es Salaam muda huu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Shamba la Pinda labadili mtazamo wa wanafunzi Aniny Nndumi April 22, 2025 Erasto Masalu UKIMUULIZA mwanafunzi wa shule yoyote ya msingi kwamba ndoto yake anataka kuwa nani, atakutajia vyeo na kazi anazoamini kuwa nzuri, lakini hata kuambia anataka kuwa mkulima. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
BIASHARA Ushindi mkubwa na Meridianbet kasino, 9 Enchanted Beans Sloti April 22, 2025 Erasto Masalu Zamani kulikuwa na utaratibu na utamaduni wa kusimuliana hadithi, mababu na bibi zetu walikuwa ndiyo vinara wa kutoa stori za kale zenye kufurahisha na kufunza pia, lakini miaka ya hivi…
BIASHARA Meridianbet yaja kivingine, shinda simu mpya ya Samsung A25 kila wiki April 21, 2025 Erasto Masalu Kampuni bora ya michezo ya kubashiri Tanzania, Meridianbet, kwa mara nyingine inazidi kuwapendezesha wateja wake kwa promosheni mpya inayobeba furaha, burudani na zawadi murwa! Kupitia promosheni hii, wateja wa Meridianbet…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Mbezi juu yashikwa mkono na Meridianbet April 19, 2025 Erasto Masalu KAMA ilivyo kawaida ya mabingwa wa ubashiri Tanzania, Meridianbet kurejesha kwenye jamii, leo hii waliamua kuwageukia wakazi wa Mbezi Juu na kutoa msaada wa vifaa vya usafi. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Chadema: Tundu Lissu yupo gerezani Ukonga April 19, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kuwa kimeambiwa na Jeshi la Magereza kuwa Mwenyekiti waoTundu Lissu amehamishwa katika gereza la Keko na sasa yupo katika Gereza la Ukonga jijini…
BIASHARA Meridianbet yazindua promosheni mpya, Shinda simu mpya ya Samsung A25 April 18, 2025 Erasto Masalu Meridianbet, kinara wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, inawaletea wateja wake promosheni kabambe ya kushinda simu mpya ya Samsung A25! Katika promosheni hii, wateja wana nafasi ya kujishindia moja kati…
BIASHARA Uwezo wa mungu wa Kigiriki Zeus Kukupa maokoto kila siku Meridianbet Kasino April 18, 2025 Erasto Masalu KABLA sijakupa kisa cha miungu ya Kigiriki hususani mungu Zeus, unapaswa kuelewa kwamba kwa kutambua historia ya kale hususani ya Taifa la Ugiriki, Meridianbet kupitia michezo ya kasino ya mtandaoni…