HABARI MCHANGANYIKO Serikali yajivunia mafanikio sita ya TASAF April 18, 2025 Erasto Masalu SERIKALI ya Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi Rais Samia Suluhu Hassan imejivunia uwepo wa mafanikio makubwa ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Dk. Kimei aweka rekodi ya utendaji Vunjo April 17, 2025 Erasto Masalu MBUNGE wa Jimbo la Vunjo Dkt Charles Kimei ametajwa kuwa kinara wa kuzungumzia mahitaji ya wananchi kwa kuwa miongoni mwa wabunge vinara wa kusema, kuchangia au kuhoji katika kila kikao…
BIASHARA Casino Stud Poker karata zinakupa ushindi kirahisi April 17, 2025 Erasto Masalu JE, wewe ni bingwa wa kucheza karata na umeshindikana mtaani kwako, unahisi hakuna anayekuwezea? Huu hapa mchongo mpya wa kutengeneza pesa nyingi huku unaburudika na kucheza karata zako kwenye mchezo…
HABARI ZA MICHEZO Siku ya bahati ni leo na Meridianbet April 17, 2025 Erasto Masalu Alhamisi ya kutajirika na Meridianbet imefika leo ambapo timu kibao zitashuka dimbani hapo baadae kusaka tikezi ya kwenda nusu fainali kwenye Europa na Conference league. Kuna Man United, Chelsea, Real…
HABARI MCHANGANYIKO Bashe atoa onyo kwa wasafirishaji wa bidhaa za kilimo Malawi na Afrika Kusini April 17, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe ametoa wito kwa wasafirishaji wote wa Kitanzania wanaosafirisha bidhaa za kilimo, kuacha kupakia bidhaa hizo mpaka hapo Malawi na Afrika Kusini watakapo badilisha msimamo wao.…
HABARI MCHANGANYIKO Serikali yaeleza mchango wa Sekta binafsi nchini April 16, 2025 Erasto Masalu NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji, Stanislaus Nyongo, ametoa wito kwa sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika kupanga na kutekeleza mikakati mbalimbali ya nchi kwani zina mchango mkubwa…
BIASHARA Wildfire Wins kasino inakufanya tajiri. Cheza sasa. April 16, 2025 Erasto Masalu Unataka kuitwa Bosi wa Mtaa? Cheza Kasino leo ushindi ni rahisi, kupitia michezo ya kasino iliyopo Meridianbet unaweza kujikuta unaibuka na ushindi wa Mamilioni. Jisajili sasa Kuwa moja ya Matajiri…
SIASA TANGULIZI Othman Masoud: Tunaingia kwenye uchaguzi mkuu Oktoba tukiamini sisi ni washindi April 16, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amesema wanaingia kwenye uchaguzi mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu wakiamini wao ni washindi katika uchaguzi huo kwa nafasi ya…
HABARI MCHANGANYIKO TAMISEMI yaweka Dira ya matumaini 2025/26 April 16, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/26 yenye takribani Sh. 11.783 trilioni kwa ajili ya wizara na taasisi…
SIASA ACT Wazalendo yajizatiti kulinda thamani ya kura za wananchi April 16, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha ACT Wazalendo kupitia Kamati ya Uongozi ya Taifa imeamua kuwa Chama hicho kitashiriki kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa nafasi zote kwani kususia uchaguzi kutaimarisha hujuma zaidi…