HABARI MCHANGANYIKO NIDA kusitisha namba ya utambulisho Mei Mosi April 15, 2025 Erasto Masalu MKURUGENZI wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), James Kijo, ametangaza kuanzia tarehe 01 May, 2025 NIDA itasitisha rasmi matumizi ya Namba ya Utambulisho wa Taifa (NINs) kwa wote ambao…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Dk. Mpango: Tuweke mikakati ya kukuza mapato ya ndani April 15, 2025 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema hali ya ulipaji wa kodi nchini inatutaka kujipanga zaidi kwa kuweka mikakati madhubuti ya kukuza mapato ya…
BIASHARA Meridianbet yawakuna wapenzi wa Aviator PS5 yang’aa kwa mshindi wa juu April 15, 2025 Erasto Masalu Kama kuna promosheni imekuwa gumzo mitandaoni, basi ni hii ya Aviator – Zungusha Ushinde PS5 kutoka Meridianbet. Wapenzi wa michezo ya kubashiri wanashuhudia mbio za kipekee za ushindi, ambapo mshindi…
BIASHARA Black Gold kasino ya kijanja yenye malipo makubwa April 15, 2025 Erasto Masalu MOJA kati ya vitu vyenye thamani kubwa duniani kwa rasilimali za asili ukiachana na mafuta kuna hii kitu inaitwa dhahabu, Tanzania imejaliwa utajiri huu lakini Meridianbet imekuletea mchezo maalum wa…
BIASHARA Cheza leo sloti ya Mafia Clash kasino uone maajabu ya ushindi kirahisi. April 14, 2025 Erasto Masalu Hatimaye wale wapenzi wa kucheza magemu huu utawafaa, ni mchezo mzuri sana wa kasino ya mtandaoni una mandahari mazuri na wakati unaucheza unapata bonasi kubwa ya kasino ya mtandaoni. Mafia…
SIASA TANGULIZI Othman akabidhiwa mazito ACT Wazalendo April 13, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama kugombea urais wa Zanzibar huku akikabidhiwa majukumu ya msingi ya kuyatekeleza akishaapishwa. Anaripoti…
HABARI ZA MICHEZO Jumapili hii bashiri na Meridianbet April 13, 2025 Erasto Masalu BAADA ya jana kushuhudia mechi kibao zikipigwa, basi na leo ni kama kawaida kuna mechi kali sana za kukupatia ubingwa. Ili kupiga pesa hizi ingia Meridianbet na ubashiri sasa. Tukianza…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA MICHEZO Watanzania wahimiza kufanya mazoezi kwa Afya April 12, 2025 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa amewataka watanzania kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi kama sehemu ya kuhimarisha afya zao pamoja na kuchangia mambo ya kimaeendeleo. Anaripoti…
SIASA TANGULIZI Othman: Tutairudisha mamlaka yenu April 12, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema serikali atakayoiongoza baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 itawarudishia Wazanzibari mamlaka ya nchi yao iliyo huru na inayostahili kuongozwa…
HABARI ZA MICHEZO Jumamosi ya kuchukua kitita cha maana ni leo April 12, 2025 Erasto Masalu Meridianbet inakwambia hivi, siku ya leo ni rahisi sana kwako wewe kuondoka na mpunga wa maana kwani mechi kibao zipo uwanjani kuanzia pale Uingereza mpaka kule Italia. Ingia na ubashiri…