HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Umoja wa Afrika: Uchaguzi wa Tanzania ulivurugwa November 6, 2025 Erasto Masalu UCHAGUZI mkuu wa 29 Oktoba 2025, nchini Tanzania, haukikidhi kanuni na viwango vya demokrasia. Ndivyo wanavyoeleza waangalizi wa Umoja wa Afrika (AU), katika ripoti yao, iliyotolewa jana Jumatano, tarehe 5…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA CUF kuomboleza siku 30 waliouawa kwenye maandamano November 5, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeanza maombolezo ya kitaifa ya siku 30 kwa ajili ya watu waliouawa, kujeruhiwa na kupotea tarehe 29 Oktoba 2025,siku uliofanyika uchaguzi mkuu. Anaripoti Zakia Nanga, Dar…
BIASHARA Promosheni ya Non-Stop Win&Go Drop kukupa burudani ndani ya Meridianbet November 5, 2025 Erasto Masalu Ulimwengu wa kasino mtandaoni umechukua sura mpya kupitia promosheni ya kusisimua ya Non-Stop Win&Go Drop kutoka Meridianbet. Hii ni ofa ya kipekee inayowapa wachezaji nafasi ya kujishindia hadi beti za…
HABARI ZA MICHEZO Piga mshindo wa maana na Meridianbet leo November 5, 2025 Erasto Masalu Baada ya jana kushuhudia mitanange ya maana siku ya jana, leo hii tena kitawaka sana ambapo nafasi ya kuondoka na mpunga ipo nje kabisa. Tandika jamvi lako la ushindi na…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Watahiniwa 937,581 wafaulu elimu ya msingi November 5, 2025 Erasto Masalu BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika kuanzia tarehe 10 Septemba 2025. Anaripoti Zakia Nanga, Dar es Salaam … (endelea). Matokeo hayo…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Mwabukusi alaani Heche kutuhumiwa kwa ugaidi November 5, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), wakili Boniface Mwabukusi, amelaani vikali hatua ya Jeshi la Polisi na kumkamata na kumfungulia jalada la tuhuma za ugaidi Makamu Mwenyekiti wa…
HABARI MCHANGANYIKO Rais Samia amuapisha Mwanasheria Mkuu November 5, 2025 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan, amemwapisha Hamza Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG). Anaripoti Zakia Nanga, Dar es Salaam … (endelea). Johari ameapishwa leo Jumatano, tarehe 5 Novemba 2025, katika…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Musiba akimbia siasa za upinzani, CCM November 5, 2025 Erasto Masalu MWANAHARAKATI huru, Cyprian Majura Musiba, ambaye miezi michache iliyopita alijiunga na chama cha ACT Wazalendo na kuwania ubunge wa jimbo la Mwibara, ametangaza kuachana na siasa. Anaripoti Joyce Ndeki, Dar…
HABARI MCHANGANYIKO Ewura yatangaza bei ya kikomo ya petroli November 5, 2025 Erasto Masalu MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kwa Tanzania Bara zitakazotumika kuanzia leo tarehe 5 Novemba 2025 ambapo…
SIASA TANGULIZI Wabunge wateule waitwa Bungeni Dodoma November 5, 2025 Erasto Masalu WABUNGE wateule wote wanafahamishwa kwamba shughuli za usajili na taratibu nyingine za kiutawala zitafanyika Ofisi ya Bunge Dodoma kuanzia tarehe 8 hadi 10 Novemba 2025, taarifa hiyo imetolewa na katibu…