HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Dk. Mpango amkabidhi Nchimbi ofisi leo November 4, 2025 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amempongeza na kumshukuru Makamu wa Rais Mstaafu Dk. Philip Mpango kwa mchango aliyoutoa wakati wa kumsaidia Rais…
BIASHARA Meridianbet yaendelea kutoa tumaini, mapambano dhidi ya Saratani ya Matiti October 29, 2025 Erasto Masalu Kila ifikapo mwezi Oktoba, ulimwengu huvaa rangi ya waridi kama ishara ya mshikamano, matumaini na mapambano dhidi ya saratani ya matiti. Kwa Meridianbet, huu si tu mwezi wa uhamasishaji, bali…
HABARI ZA MICHEZO Ukitaka taarifa zote za michezo ingia Meridianbet Sport Portal October 29, 2025 Erasto Masalu Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo likiwa ni kuwafanya wapenzi na mashabiki wa…
BIASHARA Ijumaa yako inang’aa zaidi na Lucky Friday ya Meridianbet October 28, 2025 Erasto Masalu Meridianbet wameleta kitu cha kipekee kinachobadilisha Ijumaa yako kuwa siku ya burudani na bahati. Karibu kwenye Lucky Friday, promosheni inayokufanya ucheke, ufurahie, na pia upate fursa ya kurejeshewa sehemu ya…
HABARI ZA MICHEZO Tandika jamvi lako na Meridianbet leo October 28, 2025 Erasto Masalu Mechi kibao zinaendelea huku tayari wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wameshakuwekea ODDS KUBWA kwenye mechi zote ambazo utabashiri. Unasubiri nini leo kusuka jamvi lako la ushindi?. Bashiri sasa. Ligi kuu…
SIASA Mamlaka za ulinzi chukueni hatua kuzuia njama za kuhujumu uchaguzi October 27, 2025 Erasto Masalu HUKU akijinasibu kuwa kimahesabu Chama cha ACT Wazalendo kitapata ushindi mkubwa usiowahi kutokea, Mwenyekiti wake, Othman Masoud Othman, ameasa mamlaka zinazohusika na jukumu la ulinzi na usalama kuchukua hatua madhubuti…
SIASA TANGULIZI Chadema yaja na orodha mpya ya waliotekwa October 27, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza orodha ya majina ya watu 52 wakiwemo viongozi wa chama hicho, wafuasi na wanachama wake, walioripotiwa kutekwa katika kipindi cha mwezi mmoja. Anaripoti…
BIASHARA Kwa Gates of Halloween kutoka Meridianbet, fursa ya pesa ipo kwako October 27, 2025 Erasto Masalu Kampuni bora zaidi ya michezo ya kubashiri nchini, Meridianbet, imezindua rasmi mchezo mpya wa kasino mtandaoni ujulikanao kama Gates of Halloween, mchezo ambao umechochea upepo mpya wa burudani, ubunifu, na…
HABARI ZA MICHEZO Suka jamvi la ushindi na Meridianbet hii hapa October 27, 2025 Erasto Masalu Je unajua kuwa kama ulikosa kutusua mapene wikendi, leo hii ni siku nzuri ya wewe kuibuka na mkwanja mrefu?. ODDS za kibabe zimewekwa tayari kwenye mechi hizi, hivyo ingia kwenye…
HABARI MCHANGANYIKO Wavumbuzi Vijana wa Tanzania Waongoza Mapambano ya Tabianchi October 27, 2025 Erasto Masalu VIJANA wa Kitanzania wameonyesha ubunifu mkubwa katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kupitia YouthADAPT Demo Day lililofanyika jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea) Tukio…