BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika kuanzia tarehe 10 Septemba 2025. Anaripoti Zakia Nanga, Dar es Salaam … (endelea). Matokeo hayo yametangazwa leo, Jumatano tarehe 5 Novemba 2023 na Katibu Mtendaji wa Necta, Profesa Said Ally Mohamed. Jumla ya watahiniwa 1,172,279 walifanya mtihani huo kati ya hao wavulana ni 535,138 sawa na asilimia 45.65 na wasichana ni 637,141 sawa na asilimia 54.35. INGIA HAPA KUPATA MATOKEO KAMILIĀ Share this… Facebook Pinterest Twitter Linkedin Whatsapp About The Author Erasto Masalu See author's posts Post navigation Mwabukusi alaani Heche kutuhumiwa kwa ugaidi CUF kuomboleza siku 30 waliouawa kwenye maandamano