HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Gwajima vigogo Chadema wasakwa na Polisi November 8, 2025 Erasto Masalu JESHI la Polisi nchini limesema kufuatia uchunguzi na ushahidi uliokusanywa hadi sasa kuhusu vurugu zilizotokea tarehe 29 Oktoba 2025, linawasaka kwa ajili ya kuwakamata baadhi ya vigogo wa Chama cha…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Niffer, GEN Z washtakiwa kwa uhaini November 7, 2025 Erasto Masalu WATU 98 akiwemo Jeniffer Jovin ‘Niffer’, mfanyabiashara maarufu wa vipodozi nchini, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam na kushtakiwa kwa makosa ya uhaini, yanayohusishwa na…
HABARI ZA MICHEZO Dau lako, ushindi wako leo November 7, 2025 Erasto Masalu KWA dau dogo tuu leo hii unaweza kubadilisha maisha yako kwani ODDS KUBWA zipo Meridianbet. Mechi za ligi mbalimbali zipo kwaajili yako. Unangoja nini?. Suka jamvi lako hapa. LALIGA kutakuwa…
BIASHARA Piga pesa na Gates of Halloween kipindi hiki cha Halloween November 7, 2025 Erasto Masalu MSIMU wa Halloween umekuja, na Meridianbet wanakualika kushiriki kwenye Gates of Halloween, sloti ya kipekee iliyoundwa kukuletea furaha, msisimko, na fursa za kushinda kila unapozungusha. Huu ni mchezo ambao unakuletea…
HABARI MCHANGANYIKO Watu 300 waliokamatwa kwenye maandamano Kilimanjaro waachiwa November 6, 2025 Erasto Masalu KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, SACP Saimon Maigwa, amesema watuhumiwa 300 waliokamatwa kwenye maandamano waliokamatwa awali wameachiwa baada ya kubainika hawakuwa na makosa. Anaripoti Joyce Ndeki, Kilimanjaro … (endelea).…
SIASA ACT yatia shaka kifo cha diwani wao aliyekuwa mahabusu November 6, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, mkoa wa Mara, Charles Mwera, ametia shaka juu ya kifo cha ghafla cha aliyekuwa mgombea udiwani wa Kata ya Sirari, wilaya ya Tarime, mkoani Mara…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Hatutakubali kubezwa tena – OMO November 6, 2025 Erasto Masalu ALIYEKUWA mgombea urais Visiwani Zanzibar, Othman Masoud Othman (OMO), amewataka wafuasi wake, kupigania alichoita, “Zanzibar yenye heshima.” Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka Pemba…(endelea). Amesema, “…sisi siyo watu wa kubezwa na hatutakubali…
HABARI ZA MICHEZO Jero yako, ushindi wako leo November 6, 2025 Erasto Masalu Kwa dau dogo tuu leo hii unaweza kubadilisha maisha yako kwani ODDS KUBWA zipo Meridianbet. Mechi nyingi za Europa leo zipo kwaajili yako. Unangoja nini?. Suka jamvi lako hapa. OGC…
BIASHARA Paisha helikopta ya Super Heli ujinyakulie Samsung A26 November 6, 2025 Erasto Masalu Meridianbet, kinara wa michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni nchini Tanzania, wamezindua promosheni kubwa kwa wateja wao waaminifu. Hii ni kupitia mchezo wao maarufu wa Super Heli, ambapo washiriki wana…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Mawakili wa Heche walishtaki Jeshi la Polisi November 6, 2025 Erasto Masalu WAKILI wa John Heche Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hekima Mwasipu, amesema kuwa wamefungua kesi Mahakama Kuu wakilishtaki Jeshi la Polisi kwa kumshikilia mteja wake (Heche)…