HABARI MCHANGANYIKO Serikali yaweka pingamizi kesi ya Heche dhidi ya IGP November 10, 2025 Erasto Masalu UPANDE wa Jamhuri umeweka pingamizi kwenye kesi John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) aliyomshtaki Inspekta Jenerali wa Polisi (IJP) na wenzake kwa kumshikilia kinyume cha…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Kesi ya Lissu yaahirishwa kwa sababu za kiusalama November 10, 2025 Erasto Masalu SHAURI la uhaini linalomkabili Tundu Lissu, mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini – CHADEMA, limeahirishwa hadi Jumatano ya 12 Novemba, kwa kile kilichoelezwa kuwa “sababu za kiusalama.” Anaripoti Mwandishi…
HABARI ZA MICHEZO Mamilioni yanakusubiri ndani ya Meridianbet leo November 10, 2025 Erasto Masalu Wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa huku timu zingine zikienda kwenye mapumziko ya Kimataifa, kuna ligi nyingine za pesa zitaendelea huku wewe ukiwa na nafasi ya kupiga pesa. BRAZIL…
BIASHARA Meridianbet Missions kugeuza kila mzunguko kuwa ushindi halisi November 10, 2025 Erasto Masalu Wakati ambao kasino za kawaida zinategemea bahati, Meridianbet imetengeneza njia mpya ya kucheza kupitia Meridianbet Missions. Huu ni mfumo wa kipekee unaobadilisha kila mzunguko wa sloti kuwa hatua yenye maana…
HABARI ZA MICHEZO Piga mkwanja na Meridianbet leo November 9, 2025 Erasto Masalu Je unajua kuwa siku ya leo unaweza ukapiga mkwanja wa uhakika na Meridianbet?. Mechi kibao kuendelea huku nafasi ya wewe kuondoka na mzigo wa kutosha ikiwa wazi kabisa. Usisubiri kuhadithiwa,…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Chadema yalaani kukamatwa viongozi wake November 8, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimelaani hatua ya vyombo vya dola kuwasaka na kuwakamata viongozi wake. Kinasema, kitendo hicho, kinalenga kukivuruga na kuvuruga uendeshaji na shughuli zake. Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Heche akimbizwa hospitali, Lema, Jacob wakamatwa November 8, 2025 Erasto Masalu MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amekimbizwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, baada ya hali yake ya kiafya kuripotiwa kudorora.…
HABARI ZA MICHEZO Ushindi upo nje nje siku ya leo na Meridianbet November 8, 2025 Erasto Masalu Wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa Wikendi hii ipo kwaajaili ya kuhakikisha hawakuachi patupu. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi za leo hivyo bashiri sasa. EPL pale mapema kabisa Tottenham…
BIASHARA Meridianbet kukupa mageuzi ya michezo ya kasino mtandaoni kupitia iMoon November 8, 2025 Erasto Masalu Sekta ya michezo ya kasino mtandaoni inazidi kushuhudia mabadiliko makubwa, huku ubunifu ukiwa silaha muhimu kwa kampuni zinazotaka kubaki kileleni. Kwa mara nyingine tena, Meridianbet wameonyesha kwa vitendo dhamira yao…
HABARI MCHANGANYIKO Watu 172 kortini kwa kufanya vurugu, unyang’anyi siku ya Uchaguzi November 8, 2025 Erasto Masalu WATU 172 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza na kusomewa mashtaka kadhaa yakiwemo ya kuharibu mali, kuchoma moto na unyang’anyi wa kutumia silaha. Anaripoti…