BIASHARA Win&Go na siri ya ushindi kupitia Lucky Loser November 12, 2025 Erasto Masalu Kuna msemo unasema, bahati haipotei na Meridianbet imethibitisha hilo kupitia Lucky Loser. Fikiria unapocheza Win&Go, unakosa namba zote 6, lakini badala ya huzuni, unalipwa mara 30 ya dau lako. Hii…
BIASHARA Ruby Play yaleta upepo mpya wa ushindi na ubunifu Meridianbet November 11, 2025 Erasto Masalu Meridianbet inazidi kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha michezo ya kasino mtandaoni kwa kuileta Ruby Play, jina lenye uzito katika ulimwengu wa burudani ya kidigitali. Hatua hii inaleta mabadiliko makubwa…
HABARI ZA MICHEZO Ukitaka taarifa zote za michezo ingia Meridianbet Sport Portal November 11, 2025 Erasto Masalu Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo likiwa ni kuwafanya wapenzi na mashabiki wa…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Hatujatolewa kwa sababu ya maridhiano -Heche November 11, 2025 Erasto Masalu JOHN Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Demokrasia), amesema kuwa viongozi wa chama hicho hawakuachiwa kwa dhamana kutoka mikononi mwa Jeshi la Polisi kwa sababu ya mazungumzo…
SIASA TANGULIZI ACT Wazalendo Z’bar wataja sababu za kumsusia Mwinyi November 11, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha ACT-Wazalendo visiwani Zanzibar kimesema Walisusia hafla ya ufunguzi wa Baraza wa Wawakilishi iliyofanyika jana, tarehe 10 Novemba, 2025 kwa kuwa hawakubaliani na matokeo yaliyompa ushindi Rais Dk. Hussein…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Zungu Spika mpya wa Bunge November 11, 2025 Erasto Masalu MBUNGE wa Ilala (CCM), Mussa Azzan Zungu, amechaguliwa rasmi kuwa Spika mpya wa Bunge la Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Zungu amepata kura 378, katika kura 383 zilipigwa.…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Heche, Lema, Golugwa na Jacob, waachiliwa kwa dhamana November 10, 2025 Erasto Masalu VIONGOZI wandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiongozwa na Naibu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, wameachiwa kwa dhamana. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Mbali…
HABARI MCHANGANYIKO Rais Mwinyi asisitiza Serikali ya Umoja wa Kitaifa November 10, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi, amesisitiza serikali yake itaheshimu maridhiano na kuendesha serikali ya umoja wa kitaifa (SUK). Anaripoti Shamsa Haji, Dar es…
SIASA TANGULIZI Rais Samia awateua Gwajima, Dk. Bashiru kuwa wabunge November 10, 2025 Erasto Masalu SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ameteua wabunge sita kuwa wabunge la Jamhuri. Anaripoti Shamsa Haji, Dar es Salaam … (endelea). Rais Samia amefanya uteu huo…
HABARI MCHANGANYIKO Uhamiaji kukanusha unyang’anyi wa pasipoti November 10, 2025 Erasto Masalu IDARA ya Uhamiaji imekanusha taarifa zinazosambazwa kupitia klipu ya sauti kwenye mitandao ya kijamii zikidai kwamba raia wa Tanzania wanaorejea nchini kutoka nje wananyang’anywa pasipoti na fedha zao katika viwanja…