SIASA TANGULIZI RAIS Samia ataja vigezo vya kumteua Mwigulu November 14, 2025 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema uteuzi wa Mwigulu Nchemba umepitia ushindani mkubwa na baada ya kuona vigezo alivyonavyo katika kuitumikia nchi hii na katika kuwatumikia wananchi wa jamhuri wa muungano…
SIASA Mwigulu kuapishwa kesho Ijumaa November 13, 2025 Erasto Masalu WAZIRI mkuu mpya wa Jamhuri ya Muungano, Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuapishwa kesho, saa saba mchana, Ikulu mjini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na…
BIASHARA Promosheni ya kibabe na Meridianbet hii hapa November 13, 2025 Erasto Masalu Kama ilivyo kawaida Meridianbet kwa promosheni hapa ndio nyumbani, na safari hii kuna mwendelezo wa promosheni ya Kujisajili, Kuweka Pesa, Kucheza na Kujishindia Samsung A26. Promosheni hii imeanza mwezi huu…
BIASHARA Slotopia yaishikilia Meridianbet, ushindi na burudani bila kikomo November 13, 2025 Erasto Masalu Meridianbet wanazidi kuburudisha wapenzi wa kasino mtandaoni. Leo, tunawaletea mtoa huduma mpya wa michezo ya kasino, Slotopia, anayekuletea uzoefu wa burudani isiyokuwa na kifani. Sasa kila mzunguko unaoucheza kwenye Meridianbet…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Tuache kiburi, tuliokoe taifa – Mwabukusi November 13, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amewataka viongozi wa serikali kuacha kiburi, ili kuliokoa taifa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). “Ni muhimu kwa watawala…
KIMATAIFA Rais wa Sudan Kusini amfuta kazi makamo wake November 13, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amemfuta kazi Makamu wa Rais na Naibu Kiongozi wa chama tawala, Benjamin Bol Mel. Hatua hiyo imeashiria kuvunjika kwa uhusiano wa karibu uliokuwepo kati…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Ngoma bado mbichi, Lissu aibuka na pingamizi jipya November 12, 2025 Erasto Masalu TUNDU Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameibua pingamizi la kupinga kutumika kwa sheria ya kuficha mashahidi kwenye shauri la uhaini linalomkabili katika Mahakama Kuu, masjala ndogo…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu apinga shahidi wa siri kutoonekana na majaji November 12, 2025 Erasto Masalu TUNDU Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeshtakiwa kwa tuhuma za uhaini kwenye Mahakama ya Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, amepinga namna ya utolewaji wa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Waziri Mkuu, Naibu Spika kuthibitishwa kesho bungeni November 12, 2025 Erasto Masalu SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ametangaza kuwa kesho tarehe 13 Novemba 2025, Bunge la 13 katika Mkutano wa Kwanza, Kikao cha Tatu, litakuwa…
BIASHARA Ushindi ni wako na Meridianbet leo November 12, 2025 Erasto Masalu Je unajua kuwa wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wamekuletea ofa kabambe kabisa ambayo inakupa nafasi ya kujishinda simu janja aina ya Samsung A26. Ingia kwenye fursa hii sasa na upate…