HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Mwanajeshi wa Marekani akamatwa na mabomu Tanzania November 17, 2025 Erasto Masalu JESHI la Polisi Mkoa wa Polisi Tarime- Rorya, limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye uraia pacha wa Kenya na Marekani, katika eneo la mpaka wa Tanzania na Kenya, Sirari. Anaripoti…
HABARI ZA MICHEZO Nafasi ya kuwa milionea na Meridianbet hii hapa November 16, 2025 Erasto Masalu Leo hii ukiwa na Meridianbet unaweza ukabadilisha maisha yako kirahisi sana kwani Meridianbet wamekupa nafasi kubwa kwa kukuletea mechi zote za ligi mbalimbali ambazo pia zina machaguo zaidi ya 1000.…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Machafuko ya 29 Oktoba: Maaskofu Katoliki wataka wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wawajibike November 15, 2025 Erasto Masalu BARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania, limetaka wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama wawajibike, au kuwajibishwa na mamlaka zao za uteuzi, kutokana na matendo maovu waliyofanyiwa…
BIASHARA Halloween yaja na mchezo mpya wa kusisimua, Trick or Treat Bonanza ya Meridianbet November 15, 2025 Erasto Masalu Halloween imekuwa rasmi tukio la bahati na msisimko, na sasa Meridianbet inakuletea mchezo mpya wa kasino unaosisimua, Trick or Treat Bonanza. Huu ni mchezo unaochanganya uhalisia wa sherehe za Halloween…
HABARI ZA MICHEZO Siku ya kutusua na Meridianbet hii hapa November 15, 2025 Erasto Masalu Michuano hii hapa ya kufuzu Kombe la Dunia inakupa nafasi kubwa ya kujinyakulia mshiko wa maana na Meridianbet leo. Suka jamvi lako la ushindi sasa na uibuke bingwa leo. Katika…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA SIASA TANGULIZI Shinikizo la kufanyika uchunguzi wa mauaji ya 29 Oktoba lashika kasi November 15, 2025 Erasto Masalu SERIKALI ya Ireland na Denmark, zimetaka kufanyika uchunguzi huru kuhusu kinachoitwa, “mauaji ya kiholela na ukiukaji wa haki za binadamu nchini Tanzania.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).…
BIASHARA Kila sekunde ina thamani na Meridianbet November 14, 2025 Erasto Masalu Je unajua kuwa ukiwa na Live In-Play Booster ni rahisi kutengeneza pesa kila sekunde? Kwani hiyo sekunde na dakika zinaweza kukuletea utofauti mkubwa kati ya ushindi wa kawaida na ushindi…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Meridianbet yaendelea kuwekeza kwa jamii kupitia MRC Rehabilitation Centre November 14, 2025 Erasto Masalu Kampuni ya michezo ya kubashiri inayoongoza nchini, Meridianbet Tanzania, imeendeleza utamaduni wake wa kuwainua watu wanaoishi katika mazingira magumu kupitia miradi ya kijamii (CSR). Katika tukio la hivi karibuni, kampuni…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Samia atangaza msamaha kwa waandamanaji November 14, 2025 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan, ametangaza msamaha kwa vijana waliokamatwa, kufuatia maandamano ya siku tatu kuanzia siku ya uchaguzi mkuu wa 29, Oktoba. Anaripoti Saed Kubenea, Dar es Salaam … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO Watumishi LHRC wadai kukamatwa na Polisi November 14, 2025 Erasto Masalu WAFANYAKAZI wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), waliokuwa wakifanya kazi katika hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam, wamekamatwa na polisi, jana tarehe 13 Novemba 2025,…