HABARI ZA MICHEZO Taarifa, Odds kubwa na fursa za ushindi zinakungoja kwenye Meridianbet Sport Portal November 19, 2025 Erasto Masalu Meridianbet Sport Portal? Hili ni jukwaa kubwa kabisa ambalo kutokana na upana limekuja kwaajili ya kumrahisishia kazi mteja wa Meridianbet wakati wa kubashiri kwani hapa anapata taarifa zote za kimichezo…
BIASHARA Meridianbet yaipa kasino mtandaoni uso mpya na Aspect Gaming & Superspade Games November 19, 2025 Erasto Masalu Ulimwengu wa kasino mtandaoni umeingia katika hatua mpya ya ubora, na Meridianbet ndiyo kinara wa mageuzi hayo. Kupitia ujio wa Aspect Gaming na Superspade Games, Meridianbet inaendelea kuthibitisha kuwa ni…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu: Nitakuwa wa mwisho kutoka gerezani mpaka wote waachiliwe November 19, 2025 Erasto Masalu TUNDU Lissu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye yupo katika gereza Kuu la Ukonga kama mshtakiwa wa tuhuma za uhaini katika mahakama kuu masjala ndogo ya Dar…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Mtanzania aliyeuwawa na Hamas arudishwa Tanzania November 19, 2025 Erasto Masalu MWILI wa Joshua Loitu Mollel (21), raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyeuawa na kundi la wanamgambo wa Hamas, wakati wa mauaji ya tarehe 7 Oktoba mwaka 2023, unatarajiwa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Rais Samia aunda Tume ya kuchunguza matukio ya 29 Oktoba November 18, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameunda Tume Huru ya Uchunguzi itakayochunguza matukio yaliyotokea siku ya uchagazi mkuu tarehe 29 Oktoba yaliyoitwa na serikali matukio ya…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Maandamano ya Gen Z kuikosesha Tanzania mabilioni November 18, 2025 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassani amesema kwa maandamano na vurugu zilizotokea tarehe 29 Oktoba 2025 siku ya Uchaguzi mkuu yameitia doa nchi na kuiweka Tanzania kwenye wakati mgumu ya kupata mabilioni…
HABARI ZA MICHEZO Beti na Meridianbet mechi za leo November 18, 2025 Erasto Masalu Muda wa kutengeneza pesa na Meridianbet umefika leo kwani mechi nyingi za kufuzu Kombe la Dunia zipo nyingi. Tengeneza jamvi lako la ushindi hapa sasa na ujiweke kwenye nafasi ya…
BIASHARA Clash 4 Ca$h yawasha moto mpya na mamilioni ya zawadi kutoka Meridianbet November 18, 2025 Erasto Masalu Wakati michezo ya kasino mtandaoni ikiendelea kushika kasi nchini, Meridianbet imekuja na tukio linalotikisa ulimwengu wa burudani, Clash 4 Ca$h Tournament. Haya ni mashindano makubwa yenye zawadi za kuvutia zinazofikia…
HABARI ZA MICHEZO Mechi za kufuzu Kombe la Dunia zimekuja na pesa November 17, 2025 Erasto Masalu Je unajua kuwa mechi za kufuzu Kombe la Dunia leo hii, zinakupa maokoto ya maana?. Bashiri sasa na Meridianbet ujiweke kwenye nafasi ya kuibuka bingwa kwani Odds za kibabe zipo…
BIASHARA Meridianbet na Novemba ya zawadi ukipaa na kindege cha Aviator November 17, 2025 Erasto Masalu Mwezi huu, Meridianbet inafungua mlango wa burudani na zawadi zisizo za kawaida kwa wapenzi wa kasino mtandaoni. Pata nafasi ya kushinda simu mpya za Samsung A26 kupitia mchezo maarufu wa…