HABARI ZA MICHEZO Nafasi ya kuibuka na ushindi ipo Meridianbet leo November 21, 2025 Erasto Masalu Baada ya mapumziko ya Kimataifa, hatimaye sasa ligi zimerejea kwa kishindo kikubwa ambapo, Ijumaa ya leo ni nafasi ya wewe kutengeneza mkwanja wa maana. Ingai kwenye akaunti yako na ubashiri…
HABARI MCHANGANYIKO China yazindua ukarabati Tazara November 20, 2025 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais, Balozi Emmanuel Nchimbi, amesema ukarabati wa reli ya TAZARA utaimarisha ukanda wa kati na kusini, kuchochea biashara kati ya Tanzania, Zambia; Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Serikali yaanza kuonja kibano cha kimataifa November 20, 2025 Erasto Masalu BUNGE la Jumuiya ya Ulaya (EU), limepitisha kwa wingi, pingamizi dhidi ya mpango wa Tume ya Ulaya wa kuelekeza msaada wa kifedha kwa Serikali ya Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
HABARI MCHANGANYIKO Mtanzania aliyeuawa Israel azikwa November 20, 2025 Erasto Masalu MAZIKO ya Joshua Loitu Mollel, raia wa Tanzania, aliyefariki dunia, tarehe 7 Oktoba 2023, nchini Israel, baada ya kushambuliwa na kundi la wanamgambo wa Hamas, yamefanyika leo, 20 Novemba 2025,…
SIASA Rais Samia atetea Tume yake November 20, 2025 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan, ametetea Tume Huru ya Uchunguzi aliyounda kuchunguza anachoita, “matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi wa 29 Oktoba 2025.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
MAKALA & UCHAMBUZI SIASA TANGULIZI Tukiacha kubaka uchaguzi, tutakuwa salama November 20, 2025 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuunda tume ya kuchunguza matukio ya wakati wa maandamano ya 29 Oktoba, “ili kufahamu” sababisho la maandamano. Anaandika Saed Kubenea, Dar es Salaam … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Zitto Kabwe azinduka usingizini November 20, 2025 Erasto Masalu KIONGOZI mwandamizi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, sasa ametoka kwenye usingizi mnono. Amekiri kwamba hakuna uwezekano wa kulinda kura, kupitia chaguzi zinazofanywa kwa sheria kandamizi. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
BIASHARA Piga *149*10# kushinda Samsung A26 na Meridianbet November 20, 2025 Erasto Masalu Jumatano ya zawadi imekufikia na Meridianbet siku ya leo ambapo wale ambao hutumia vitochi kufanya ubashiri sasa wanaweza kujishindi simu janja kali kabisa ndani ya Meridianbet kwa kubashiri mechi wazitakazo.…
BIASHARA TVBET kukupa michezo mubashara ndani ya Meridianbet November 20, 2025 Erasto Masalu Meridianbet imefungua ukurasa mpya wa burudani kwa kuwaletea watumiaji huduma ya TVBET, jukwaa ambalo halitoi tu michezo ya kasino, bali linatoa uzoefu uliobinafsishwa kwa kila mchezaji. Katika kipindi ambacho watu…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Tume ya Rais Samia yapingwa kila kona November 19, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema Tume ya Uchunguzi, iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan, haina uhalali wa kufanya kazi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).…