HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Ripoti yetu kuhusu Tanzania imezingatia weledi – CCN November 24, 2025 Erasto Masalu KITUO cha habari cha kimataifa cha CNN kimesisitiza kuwa ripoti yake juu ya matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025 nchini Tanzania, imejengwa kikamilifu juu ya ushahidi; hakikuchapisha taarifa yoyote ambayo…
HABARI ZA MICHEZO Nogesha wiki yako na Meridianbet sasa November 24, 2025 Erasto Masalu Wiki Yako inaenda kunoga ukiwa na wakali wa ubashiri leo kwani hapa unaweza ukasuka jamvi lako la ushindi na uibuka bingwa. Timu nyingi zitakuwa uwanjani kukusubiri wewe pekee. Ingia kwenye…
BIASHARA Wiki ya mwisho ya kushinda Samsung A26 kutoka Super Heli yazidi kunoga November 24, 2025 Erasto Masalu Wiki ya mwisho ya promosheni ya Super Heli imewadia, na Meridianbet imekupa sababu nyingine ya kuingia kwa nguvu kwenye mchezo huu pendwa. Huu ndiyo wakati ambao kila dau lina uzito,…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Mzimu wa Oktoba 29 unavyoitesa Serikali November 24, 2025 Erasto Masalu NI siku 26 sasa tangu matukio ya tarehe 29 Oktoba yaliigubika Tanzania kiza cha moshi wa risasi zilizoacha simanzi na majonzi kwa wananchi. Bado mjadala wake hauzimi. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
HABARI ZA MICHEZO Meridianbet kufanikisha ndoto zako leo November 23, 2025 Erasto Masalu Ni Jumapili ya kibabe kabisa na tulivu ambayo imekuja kwaajili ya kubadili maisha yako. Timu kibao zipo uwanjani kuwania pointi 3 huku wewe ukiwania mkwanja wa maana. Ingia kwenye jamvi…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Serikali yavikosoa vyombo vya habari vya kimataifa November 23, 2025 Erasto Masalu MSEMAJI wa serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amevikosoa vyombo vya habari vya nje akivitaka kufuata maadili na misingi ya uandishi wa habari. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO Rais Mwinyi azindua miradi ya nyumba November 22, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ameiagiza wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, kuzuia wananchi kuuza viwanja kiholela bila kuzingatia matumizi bora ya ardhi. Anaripoti Zakia Nanga, Zanzibar ……
BIASHARA Zombie Apocalypse ya Meridianbet ni safari ya ushindi isiyokuwa na mipaka November 22, 2025 Erasto Masalu Je, uko tayari kuingia kwenye ulimwengu wa hatari na zawadi zisizo na kikomo? Meridianbet inawaletea wachezaji Zombie Apocalypse, mchezo wa kasino unaochanganya taharuki, burudani ya hali ya juu, na nafasi…
HABARI ZA MICHEZO ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1,000 yapo hapa November 22, 2025 Erasto Masalu Wikendi ndio hiyo imefika, na wajanja wote wanabashiri na Meridianbet mechi zao zote. Wewe unangoja nini leo?. Ingia kwenye akaunti yako sasa na utengeneze jamvi lako hapa. Ligi kuu ya…
BIASHARA Meridianbet yarejesha kwa jamii ikigawa vyakula kwa familia zenye uhitaji November 21, 2025 Erasto Masalu Meridianbet imeendelea kuthibitisha nafasi yake kama kampuni inayoongoza si tu katika burudani na michezo ya kubahatisha, bali pia katika uwekezaji wa kijamii kupitia hatua yake mpya ya kugawa msaada wa…