HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Siachi kusoma gazeti la MwanaHALISI – Profesa Kabudi November 25, 2025 Erasto Masalu WAZIRI Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi, amesema kuwa miongoni mwa magazeti ambayo hawezi kuacha kusoma ni pamoja na MwanaHALISI linalozalishwa na kampuni ya Hali Halisi Publishers. Anaripoti…
HABARI ZA MICHEZO Moto wa UEFA kuwaka leo, beti yako unampa nani? November 25, 2025 Erasto Masalu Ligi ya mbaingwa Ulaya sasa imerejea kwa ari zote huku nafasi ya wewe kuibuka bingwa ikiwa wazi kabisa kwako. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia na…
BIASHARA Wild White Whale yazindua msimu wa ushindi usioisha na Meridianbet November 25, 2025 Erasto Masalu Meridianbet, bingwa wa burudani na ubunifu nchini Tanzania, amerudi tena na ofa ambayo imewasha moto mpya wa ushindi kupitia mchezo wa Wild White Whale. Mwezi mzima, kila siku ni nafasi…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Tanzania inahujumiwa kwa sababu ya rasimali zake -Dk Mwigulu November 25, 2025 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchema amesema matukio yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025, ni hujuma kwa Tanzania ikilenga kuwafitinisha wananchi wagawanyike. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO Polisi yathibitisha kutoa kwa mauaji ya mtoto wa miaka miwili Mara November 25, 2025 Erasto Masalu JESHI la Polisi Mkoa wa Mara limethibitisha kutokea kwa mauaji ya Mariam Paye Lubunda, mtoto mwenye umri wa miaka 2 na miezi 9 mkazi wa mtaa wa Zanzibar, Manispaa ya…
HABARI MCHANGANYIKO Ajali ya basi yaua watatu Morogoro November 25, 2025 Erasto Masalu WATU watatu wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya ABC lililokuwa likitoka Iringa kuelekea Dar es Salaam kugongana na basi la Kelvan International lililokuwa…
MAKALA & UCHAMBUZI SIASA TANGULIZI Msiwajibu wanaowatukana – Kanisa Katoliki November 25, 2025 Erasto Masalu KANISA Katoliki, Jimbo Katoliki la Musoma, limewataka waumini wake na viongozi wa dini nchini, kutojiingiza kwenye mijadala ya matusi, lawama na kejeli. Anaripoti Saed Kubenea, Dar es Salaam … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Washtakiwa 57 wa uhaini waanza kuachiliwa November 24, 2025 Erasto Masalu NI siku 10 tangu Rais Samia Suluhu Hassan, alivyotangaza waandamanaji walioshtakiwa kwa mashtaka ya uhaini katika mahakama mbalimbali nchini ambao waliingia kwenye maandamano kwa kufuata mkumbo , agizo hilo limeanza…
HABARI MCHANGANYIKO Wahamiaji haramu 14 wakamatwa Mwanza November 24, 2025 Erasto Masalu JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume na sheria kwa kutumia usafiri wa magari mawili tofauti ya abiria. Anaripoti…
MAKALA & UCHAMBUZI SIASA Thabo Mbeki: Tanzania inahitaji mwanzo mpya haraka November 24, 2025 Erasto Masalu TAASISI ya Thabo Mbeki imetoa risala za rambirambi kwa familia zilipoteza wapendwa wao, kutokana na vurugu za uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba 2025, nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es…