BIASHARA Muda wa kucheza Gates of Halloween umewadia, ni ushindi mikononi mwako November 27, 2025 Erasto Masalu Meridianbet inakuletea mchezo unaokuletea msisimko, burudani, na ushindi mkubwa kila unaposhiriki. Gates of Halloween ni nafasi yako ya kuingia kwenye ulimwengu wa hofu na maajabu, ambapo kila alama inaweza kubadilisha…
KIMATAIFA Wanajeshi wa Marekani wapigwa risasi karibu na Ikulu ya White House November 27, 2025 Erasto Masalu MAOFISA wawili wa jeshi la Ulinzi wa Kitaifa wamejeruhiwa vibaya baada ya kupigwa risasi huko Washington DC karibu na Ikulu ya White House, katika kile meya wa jiji hilo amekiita…
HABARI MCHANGANYIKO Waziri Kikwete akutana na watumishi wa e-GA November 27, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amekutana na Watumishi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), na kuwakumbusha wajibu wao wa…
KIMATAIFA TANGULIZI Jeshi lampindua Rais Guinea-Bissau November 26, 2025 Erasto Masalu RAIS Umaro Sissoco Embaló amepinduliwa na maafisa wa kijeshi baada ya milio ya risasi kusikika katika mji mkuu, Bissau kwa siku tatu mfululizo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Shirika…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Maswali tata ya Wahariri kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba November 26, 2025 Erasto Masalu MWIGULU Madilu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, amekutana na wahariri wa vyombo vya habari jana Jumanne, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).…
BIASHARA Naga Games kuleta burudani isiyokoma na ushindi kubwa ndani ya Meridianbet November 26, 2025 Erasto Masalu Meridianbet inabadilisha taswira ya kasino mtandaoni kwa kufungua mlango mpya wa burudani kupitia Naga Games. Huu ni ulimwengu wa ushindi na msisimko unaoshirikisha kila mchezaji. Hapa, kila mchezo umetengenezwa kwa…
HABARI ZA MICHEZO Faida maradufu ipo mechi za UEFA leo November 26, 2025 Erasto Masalu Ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana kutengeneza pesa maradufu kwenye mechi zote zinazoendelea. Ligi ya mabingwa bado inaendelea na wakali hao wa ubashiri wapo tayari kuhakikisha unapata zaidi. Kivumbi kitaanza…
KIMATAIFA TANGULIZI Rais wa zamani wa Brazil, anaanza maisha mapaya gerezani November 26, 2025 Erasto Masalu RAIS wa zamani wa Brazil, Jair Bolsonaro, jana Jumanne, alianza kutumikia kifungo chake cha miaka 27 gerezani. Amepatikana na hatia ya kuongoza jaribio la mapinduzi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Jaji wa…
HABARI MCHANGANYIKO MAKALA & UCHAMBUZI TANGULIZI Vyombo vya habari vimesifiwa au vimedhihakiwa? November 26, 2025 Erasto Masalu WAKATI vyombo habari nchini Tanzania vikitajwa kurudi nyuma kwa kushindwa kuripoti au kuandika matukio yenye maslahi kwa umma msemaji wa serikali amevisifia kwa weledi. Anaandika Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…
HABARI MCHANGANYIKO Heri ya siku ya kuzaliwa kwa Polepole, ni siku 51 tangu ametekwa November 25, 2025 Erasto Masalu IKIWA ni siku 51 sawa na saa 1,224, dakika 73,440 tangu aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kuripotiwa kutekwa na watu wasiojulikana, leo ni kumbukizi ya siku yake…