BIASHARA Puma yatangaza mshindi wa droo ya vilanishi, atwaa Elite Card ya mil 5 November 28, 2025 Erasto Masalu PUMA Energy imemtangaza mshindi wa droo ya vilainishi, ambapo Boaz Aywayo ameibuka na Elite Card yenye thamani ya shilingi milioni 5 ambayo itamuwezesha kufanya manunuzi ya vilainishi au gesi katika…
BIASHARA Meridianbet yazidi kutoa faraja, hospitali ya Ndumbwi yapata msaada muhimu November 28, 2025 Erasto Masalu Meridianbet, kampuni kinara ya ubashiri nchini Tanzania, imeonyesha mshikamano thabiti na jamii kwa kutoa mashuka mapya kwa Hospitali ya Ndumbwi. Kitendo hiki kimezidi kudhihirisha kuwa biashara inaweza kuwa chachu ya…
KIMATAIFA TANGULIZI Azimio la Bunge la Ulaya: Kitanzi kikali kwa Tanzania November 28, 2025 Erasto Masalu HATMA ya Tanzania, kutengwa na ufadhili wa Jumuiya ya Ulaya (EU), sasa umebaki mikononi mwa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya – chombo cha mwisho – kwa maamuzi hayo. Anaripoti Mwandishi…
SIASA TANGULIZI Hatufahamu kesi ya Lissu itaendelea lini – Wakili Mwasipu November 28, 2025 Erasto Masalu MMOJA wa mawakili wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amesema kuwa hafahamu ni lini kesi ya mteja wake huyo, itarejea tena mahakamani. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Niko tayari kuhojiwa mali zangu – Ridhiwani Kikwete November 28, 2025 Erasto Masalu RIDHIWANI Jakaya Kikwete, waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, amesema yupo tayari kuhojiwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, juu…
HABARI ZA MICHEZO Meridianbet Sport Portal kukuhabarisha kwa uhakika sasa November 28, 2025 Erasto Masalu Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo likiwa ni kuwafanya wapenzi na mashabiki wa…
HABARI MCHANGANYIKO Mwabukusi akemea wanasheria kutishwa asema ni kuunajisi mfumo wa haki November 27, 2025 Erasto Masalu BONICFACE Mwabukusi, Rais wa chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), amesema vitisho kwa mawakili waliojitoa kusaidia wananchi katika kuwapatia msaada wa kisheria ni sawa na kubaka na kunajisi Mfumo wa…
KIMATAIFA SIASA TANGULIZI Ulimwengu waisakama Tanzania matukio ya Oktoba 29 November 27, 2025 Erasto Masalu JINAMIZI la matukio ya 29 Oktoba 2025, bado linaisakama Tanzania na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Anaripoti Zakia Nanga, Dar es Salaam …(endelea). Bunge la Ulaya limepitisha kwa wingi…
KIMATAIFA TANGULIZI Bunge la Ulaya lapitisha maazimio tisa dhidi ya Tanzania November 27, 2025 Erasto Masalu BUNGE la Jumuiya ya Ulaya (EU), limepitisha kwa wingi wa kura, maazimio tisa (9) yanayoilenga Tanzania, kufuatia mauaji ya raia, ukiukwaji wa haki za binadamu na madai ya uchaguzi usio…
HABARI ZA MICHEZO Mzigo mkubwa upo Meridianbet leo na Europa League November 27, 2025 Erasto Masalu Mechi za Europa League zinaendelea leo hii huku nafasi ya kutusua na Meridianbet ikiwa nje nje. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia na ubashiri sasa. AS…