HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Tujihadhari na vurugu, tupate maendeleo – Mwigulu November 30, 2025 Erasto Masalu WAZIRI mkuu wa Jamhuri, Mwigulu Nchemba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, ameliagiza jeshi la polisi kuacha kumtafuta Josephat Gwajima, Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, kama walivyokuwa wametangaza.…
HABARI ZA MICHEZO MO Dewji aibua shangwe mkutano mkuu Simba November 30, 2025 Erasto Masalu WAKATI wa usomaji wa bajeti ya klabu ya Simba kwa msimu wa 2025/26 liliibuka shangwe kutoka kwa wanachama walihudhuria mkutano huo kufuatia kutajwa kwa jina la Mohammed Dewji (Mo Dewji)…
HABARI ZA MICHEZO Bilioni 29.5 bajeti ya klabu ya Simba msimu 2025/26 November 30, 2025 Erasto Masalu KLABU ya Simba imepanga kutumia kiasi cha Sh. 29.5 bilioni kwa ajili ya matumizi kwenye msimu wa mashindano 2025/26. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Bajeti hiyo ni…
HABARI ZA MICHEZO TANGULIZI Mangungu awaacha wanachama wa Simba njia panda. November 30, 2025 Erasto Masalu WANACHAMA wa klabu ya Simba wamebaki kwenye sintofahamu kufuatia mwenyekiti wa klabu hiyo Murtaza Mangungu kufunga mkutano kiholela. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Mkutano huo wa mwaka…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Rais Museven agomea mdahalo wa Urais Uganda November 30, 2025 Erasto Masalu RAIS wa muda mrefu wa Uganda, Yower Kaguta Museveni, hatahudhuria mdahalo wa wagombea urais, uliotarajiwa kumkutanisha na mpinzani wake mkuu, Robert Kyagulanyi, almaarufu Bobi Wine. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).…
HABARI ZA MICHEZO TANGULIZI Simba wagawanyika November 29, 2025 Erasto Masalu KLABU ya soka ya Simba sasa imekumbwa na mgawanyiko, kufuatia hatua ya seriali kutaka Mwenyekiti anayetokana na wanachama kuwa ndiye msimamizi wa mali na klabu. Anaripoti Fedrick Gama, Dar es…
BIASHARA Pata Samsung Galaxy A26 mpya na Meridianbet, jisajili, cheza, ishinde November 29, 2025 Erasto Masalu Meridianbet inakuletea promosheni ya kipekee inayokuwezesha kushinda simu mpya ya Samsung Galaxy A26. Watumiaji wote wapya na waliopo wanaojisajili kupitia app au tovuti ya Meridianbet wana nafasi ya kuingia kwenye…
HABARI ZA MICHEZO ODDS KUBWA zipo ndani ya Meridianbet leo November 29, 2025 Erasto Masalu Je unajua kuwa ligi kuu mbalimbali zinaendelea sasa huku kila timu ikihitaji kufanya vyema kwa kupata ushindi?. Lakini wewe mteja wa Meridianbet una nafasi ya kutengeneza hadi zaidi ya Mamilioni.…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Kuna la kujifunza kutoka Guinea-Bisau? November 29, 2025 Erasto Masalu RAIS aliyeondolewa madarakani katika mapinduzi ya kijeshi nchini Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, amewasili Senegal, baada ya kuachiliwa huru na maofisa wa jeshi, kufuatia mazungumzo na Jumuia ya Kiuchumi ya Nchi…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Joto la 9 Desemba lafukuta November 29, 2025 Erasto Masalu KIWEWE cha kuwapo maandamano ya tarehe 9 Desemba mwaka huu na ambayo yamepewa jina la ‘D9,’ kinazidi kupamba moto nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kiwewe…