HABARI ZA MICHEZO Bonasi kubwa zipo kwa ajili yako sasa December 2, 2025 Erasto Masalu Je unajua kadri ambavyo unatumia Meridianbet zaidi kwenye kufanya ubashiri wa mechi zako ndipo unajiweka kwenye nafasi ya kuondoka na bonasi kubwa ya sport au kasino?. Bashiri mara nyingi sasa…
HABARI MCHANGANYIKO TANESCO yakanusha kuhusika na shambulio la Dk. Kitima December 2, 2025 Erasto Masalu SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikilihusisha shirika hilo na matukio ya kiuhalifu. Anaripoti Joyce Ndeki, Dar es Salaam … (endelea). Dk. Charles Kitima,…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Kifahamu kilichomo mkutano wa Samia na Wazee wa Dar December 2, 2025 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzungumza na wanaoitwa, “Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam,” leo Jumanne, kuanzia saa tano asubuhi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Katibu wa Nyerere akosoa mkutano wa Samia na Wazee wa Dar es Salaam December 1, 2025 Erasto Masalu ALIYEWAHI kuwa Katibu wa Mwalimu Nyerere, Mzee Kasori, amekosoa kufanyika kwa mkutano kati ya Rais Samia na wanaoitwa, “Wazee wa Dar es Salaam.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ……
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Dk. Kitima afunguka mazito, aeleza alivyovamiwa December 1, 2025 Erasto Masalu KATIBU Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEF), Padri Charles Kitima, amesema kuwa siku aliyovamiwa na kushambuliwa katika makao makuu ya baraza hilo, Kurasini jijini Dar es Salaam umeme ulikatwa.…
HABARI ZA MICHEZO Bashiri mechi zote na Meridianbet leo December 1, 2025 Erasto Masalu Leo hii una nafasi ya kuibuka bingwa kwa kubashiri mitanange kibao ambayo inaendelea ndani ya Meridianbet kwani Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia kwenye akaunti yako…
BIASHARA Sweet Holiday Chase za mwisho wa Mwaka zimerudi Meridianbet na Kitita cha kutosha December 1, 2025 Erasto Masalu Kwenye kipindi hiki ambapo kila mmoja anatafuta sababu ya kutabasamu, Meridianbet imeleta kitu kipya kabisa, Sweet Holiday Chase, promosheni inayochanganya burudani, msisimko na bahati katika kifurushi kimoja kama zawadi za…
BIASHARA Bahati ya zawadi ipo kwako kila mzunguko, ni Meridianbet Holiday Drops December 1, 2025 Erasto Masalu Msimu wa furaha, mshangao na zawadi umefika. Meridianbet inakuleta Holiday Drops – Christmas Edition, tukio la kipekee la msimu wa sikukuu ambapo zawadi zinadondoka papo hapo. Kuanzia 01 Desemba 2025…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Vijana wa kike wanachangia asilimia 80 ya maambukizi ya vvu December 1, 2025 Erasto Masalu KILA tarehe 1 Desemba ya kila mwaka, dunia hukumbuka vita ambavyo havisikiki kwa sauti; lakini vinaathiri maisha ya mamilioni ya watu. Vita dhidi ya VVU na Ukimwi. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
HABARI ZA MICHEZO Jumapili ya kuondoka na mkwanja imefika November 30, 2025 Erasto Masalu Baada ya Jumamosi mechi kibao za pesa kuendelea sasa ni zamu ya Jumapili ambapo Meridianbet inakwambia hivi mtafutaji hachoki, yaani ni mwendo wa kusaka ODDS KUBWA tuu na kubashiri. Ingia…