HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Makamu wa Rais afungua maadhimisho ya Kimataifa ya usugu wa vimelea vya magonjwa December 3, 2025 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais, Emmanuel Nchimbi amesema Tanzania imedhamiria kuhakikisha inalinda afya, maisha ya watu na mazingira kwa kutoa kipaumbele katika uimarishaji wa mfumo wa afya, kuwekeza katika utafiti wa kisayansi,…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Polisi Tanzania: Tumejipanga kukabiliana na wachochezi mitandaoni December 3, 2025 Erasto Masalu JESHI la polisi nchini Tanzania limesema, limejipanga kukabiliana na wimbi la uhalifu wa kimtandao na mipango ya vurugu inayosema, “inahamasishwa kupitia mitandao ya kijamii, kuelekea tarehe 9 Desemba. Anaripoti Mwandishi…
HABARI ZA MICHEZO Timiza ndoto zako na Meridianbet leo December 3, 2025 Erasto Masalu Siku ya leo inaenda kubadilisha maisha yako moja kwa moja kwani mechi kibao zipo uwanjani na nafasi ya kuondoka na ushindi ipo mikononi mwako. Ingia kwenye akaunti yako na uanze…
BIASHARA Wakati wa kushindwakugeuka kushinda na Meridianbet kupitia Lucky Loser December 3, 2025 Erasto Masalu Wachezaji wa Win&Go, sasa kushindwa hakutakusaliti tena. Meridianbet wameleta Lucky Loser, ofa ya kipekee inayowapa wachezaji fursa ya kushinda hata pale wanapokosa namba zote. Hapa, kila tiketi ni nafasi ya…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Niffer, Chavala waachiwa huru baada ya siku 40 December 3, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachilia huru mfanyabiashara Jennifer Jovin maarufu kama Niffer (26) na Mika Chavala ( 32) baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka kuamua kutoendelea na kesi hiyo. Anaripoti…
BIASHARA PUMA Energy Tanzania yapata tuzo mbili kwenye Consumer Choice Awards December 2, 2025 Erasto Masalu PUMA Energy Tanzania imetunukiwa tuzo mbili kubwa kwenye hafla ya mwaka ya Consumer Choice Awards, ambazo ni “Kampuni Inayopendwa Zaidi ya Mafuta na Nishati Barani Afrika” na “Kituo cha Mafuta…
HABARI ZA MICHEZO Simba yaachana na Pantev, aiongoza kwa mechi tano December 2, 2025 Erasto Masalu UONGOZI wa Klabu ya Simba umechana na Meneja wake Mkuu, Dimitar Pantev na wasaidizi wake wawili, baada ya kuiongoza timu hiyo kwa mechi tano pekee. Anaripoti Fedrick Gama, Dar es…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Rais Samia: Tulitumia nguvu inayostahili, walitaka kufanya mapinduzi December 2, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema walitumia nguvu inayostahili kudhibiti vurugu za tarehe 29 Oktoba 2025, akisisitiza kuwa yote yaliyotokea ilikuwa na lengo la kulinda amani ya nchi. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Samia: Oktoba 29 walitaka kupindua dola ninayoiongoza December 2, 2025 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema matukio ya vurugu yaliyotokea kuanzia 29 Oktoba 2025 siku ambayo uchaguzi mkuu ulifanyika na siku zilizofuata yalikuwa matukio ya kutengenezwa yaliyolenga kuangusha dola ya nchi…
BIASHARA Slotopia inakuletea michezo yenye burudani bila kikomo ndani ya Meridianbet December 2, 2025 Erasto Masalu MERIDIANBET wanawaletea wapenzi wa kasino mtandaoni njia mpya ya kupumzika na kufurahia msimu huu wa mwisho wa mwaka, Slotopia, jukwaa lililojaa michezo inayokuletea msisimko, burudani, na ushindi wa kupendeza. Baada…