ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Shule za sekondari, Veta kufungiwa miundombinu ya nishati safi ya kupikia December 5, 2025 Erasto Masalu WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) imesaini mikataba ya kufunga miundombinu ya nishati safi ya kupikia kwa shule za Sekondari 52 na Chuo cha VETA kimoja hapa nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
HABARI ZA MICHEZO Meridianbet Sport Portal kukuhabarisha kwa uhakika sasa December 5, 2025 Erasto Masalu Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo likiwa ni kuwafanya wapenzi na mashabiki wa…
BIASHARA Meridianbet kukumwagia mizunguko kibao bure ukicheza Win&Go December 5, 2025 Erasto Masalu Hii ni kwa wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni kote nchini wanaotumia Meridianbet. Wote waliojisajili, sasa wana nafasi ya kupata bonasi za beti za bure hadi 500 kila siku kwa…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Meta yamjibu Mange Kimambi, yeye akimbilia kwa Trump December 5, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya Meta imedai kuwa imesimamisha akaunti za Instagram za wanaharakati wawili wa Tanzania, Mange Kimambi na Maria Sarungi, kutokana na “kukiuka sera yetu ya kukiuka masharti mara kwa mara.”…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA SIASA TANGULIZI Umoja wa Mataifa, Marekani yaikaba koo Tanzania December 4, 2025 Erasto Masalu WATAALAMU wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa (UN), leo Alhamisi, tarehe 4 Desemba 2025, imetaka kuundwa kwa Tume mpya ya uchunguzi, kufuatia maandamano ya siku ya uchaguzi mkuu…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Wanafunzi 937,581 wachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza, wasichana vinara December 4, 2025 Erasto Masalu SERIKALI imetangaza jumla ya wanafunzi 937,581 wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika muhala wa masomo wa Januari mwaka 2026 huku idadi ya wasichana wakiwa vinara wakiongozwa kwa wingi wanafunzi waliopenya…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Hofu ya D9 yakimbiza watu, bidhaa zakimbiliwa December 4, 2025 Erasto Masalu USEMI ‘uking’atwa na nyoka hata unyasi ukitikisika utashtuka’ unaendelea kudhihirika kwa baadhi ya wananchi nchini wanaofikiria tishio la maandamano yaliyotangazwa kufanyika tarehe 9 Desemba, 2025 huku wakiwa na kumbukumbu ya…
BIASHARA Badili mizunguko yako kuwa tuzo na Holiday Drops 2025 kutoka Meridianbet December 4, 2025 Erasto Masalu Jambo kubwa limeletwa kwako mbashiri na meridianbet msimu huu wa sikukuu za kumaliza mwaka. Usikubali kusherehekea sikukuu kinyonge kabisa wakati Meridianbet ipo kwa ajili yako. Meridianbet wameamua kuigeuza michezo kuwa…
BIASHARA Shinda Samsung A26 leo Jumatano kwa kubashiri rahisi kupitia *149*10# December 4, 2025 Erasto Masalu Bila Intanenti ni rahisi kabisa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kushindania Samsung A26 na Meridianbet leo. Jumatano ya Zawadi ipo kwaajili yako siku ya leo inaweza kukupa furaha sana. Jumatano hii…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Ujumbe umefika, watawala wamepotezea December 4, 2025 Erasto Masalu UJUMBE wa kudai haki umewafikia watawala na kwa namna nyingine wameamua kusema kuwa haki haidaiwi kwa njia ile ya tarehe 29 Oktoba 2025 na kwamba ulikuwa ni uasi na uovu.…