Uncategorized Holiday Drops, msimu wa zawadi kwa kila mbashiri wa Meridianbet December 7, 2025 Erasto Masalu Holiday Drops – Christmas Edition ni kampeni maalum inayokuletea safu ya zawadi za papo hapo, ikifungua msimu wa shangwe, mshangao na ushindi unaoletwa bila taarifa. Kuanzia tarehe 01 Desemba 2025…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO TRA yawataka wanachama wa SACCOS kuhamasisha ulipaji kodi December 6, 2025 Erasto Masalu KAMISHNA wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, amewataka wanachama wa Saccos nchini kuwa mabalozi wa kuhamasisha wananchi kulipa kodi na kutumia mikopo kuanzisha shughuli za kiuchumi zitakazoongeza wigo…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA SIASA TANGULIZI Mwanasheria wa kimataifa ataka Tanzania isifukuzwe Jumuiya ya Madola December 6, 2025 Erasto Masalu MWANASHERIA wa kimataifa wa haki za binadamu, Robert Amsterdam, ametoa wito wa dharura kwa Jumuiya ya Madola (Commonwealth), kuisimamisha Tanzania mara moja uanachama wake, kutokana na ukiukaji mkubwa wa maadili…
HABARI ZA MICHEZO Nani kukupatia mkwanja siku ya leo? December 6, 2025 Erasto Masalu Jumamosi ya kibabe imefika leo na wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet kwani nafasi ya wewe kuondoka na zaidi ya Mamilioni ikiwa mikononi mwako siku ya leo. Nani kukupatia pesa leo?.…
BIASHARA Badili mizunguko yako kuwa tuzo na Holiday Drops 2025 kutoka Meridianbet December 6, 2025 Erasto Masalu Jambo kubwa limeletwa kwako mbashiri na meridianbet msimu huu wa sikukuu za kumaliza mwaka. Usikubali kusherehekea sikukuu kinyonge kabisa wakati Meridianbet ipo kwa ajili yako. Meridianbet wameamua kuigeuza michezo kuwa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Mwabukusi amuonya RC Chalamila, amtaja sakata la 29 Oktoba December 6, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amemtaka mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kuacha mara moja, vitisho dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la…
BIASHARA Airtel Tanzania kuendelea kwa ushirikiano wake na UCSAF December 6, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya Airtel Tanzania imetangaza kuendelea kwa ushirikiano wake na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kupitia utiwaji saini wa Awamu ya 10 ya ushirikiano wao, yenye lengo la kupanua…
HABARI MCHANGANYIKO Chalamila: Tanesco mchukulieni hatua Dk. Kitima December 5, 2025 Erasto Masalu MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaagiza viongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Uwezekano wa wanawake kuwa Mashemasi bado mgumu December 5, 2025 Erasto Masalu TUME ya Juu ya Vatican imeendelea kupinga uwezekano wa kuruhusu wanawake wa Kikatoliki kuhudumu kama mashemasi ndani ya kanisa hilo ulimwenguni. Anaripoti Joyce Ndeki, Dar es Salaam … (endelea). Tume…
KIMATAIFA SIASA TANGULIZI Mabalozi wa magharibi wataka uchunguzi huru wa mauaji ya 29 Oktoba December 5, 2025 Erasto Masalu BALOZI 16 za nchi za magharibi zimetoa wito kwa Serikali ya Tanzania, kufanyika uchunguzi huru wa matukio ya 29 Oktoba; kuwaachia huru wanaozuiliwa na kukabidhi haraka miili ya waliouawa katika…