HABARI ZA MICHEZO Bashiri na Meridianbet mechi za UEFA leo December 9, 2025 Erasto Masalu Usiku wa Ulaya huu hapa umefika huku wakali wa ubashiri Tanzania wao wamekuja na habari njema kabisa za wewe kuondoka na utajiri wako. Suka jamvi lako la ushindi na wakali…
BIASHARA Piga mizunguko ya bure kila ukicheza Zombie Apocalypse December 9, 2025 Erasto Masalu Dunia ya kasino imepata upepo mpya, upepo unaovuma kwa kasi, ubunifu na mvuto. Meridianbet imeleta promosheni kubwa kupitia Zombie Apocalypse, mchezo ambao unacheza na hisia zako. Ni mchezo unaounganisha ubunifu…
HABARI MCHANGANYIKO Hakuna tishio la kuzima mtandao nchini – Simbachawene December 8, 2025 Erasto Masalu SIMBACHAWENE- HAKUNA TISHIO LA KUZIMA MTANDAO WAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema uamuzi wa kuzima mtandao (internet) ni chaguo la mwisho kabisa pale hali ya kiusalama inapokuwa mbaya.…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Desemba 9, kutoka kushuhudia gwaride hadi kubaki nyumbani December 8, 2025 Erasto Masalu TANGU Desemba 9, 1961 Tanganyika ilipopata uhuru wake, siku hiyo imekuwa ni ya kipekee kwa wananchi ambapo hukumbuka uhuru wa taifa lao. Anaripoto Joyce Ndeki, Dar es Salaam … (endelea).…
BIASHARA Shinda Samsung A26 na Meridianbet leo December 8, 2025 Erasto Masalu Meridianbet imekuja na promosheni ya kibabe kabisa ambayo itakufanya wewe ujishindi Samsung A26 mpya kabisa endapo utafata maelekezo. Ni rahisi sana kuwa mshindi wa simu janja hii. Tengeneza jamvi lako…
BIASHARA Mshindo wa zawadi, ni Holiday Drops Christmas Edition ya Meridianbet December 8, 2025 Erasto Masalu Meridianbet inakuletea msisimko mpya wa sikukuu kupitia Holiday Drops – Christmas Edition, kampeni inayojaza msimu huu furaha na tuzo zinazoonekana papo hapo. Kuanzia tarehe 01 Desemba 2025 hadi 08 Januari…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Jaribio la Mapinduzi Benin lazimwa December 7, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Benin, Alassane Seidou, ametangaza kuwa jaribio la mapinduzi lililofanywa na “kikundi kidogo cha wanajeshi” limezimwa na jeshi la nchi hiyo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…
HABARI ZA MICHEZO Piga mkwanja mrefu na Meridianbet leo December 7, 2025 Erasto Masalu Jumapili ya kubadilisha maisha yako na Meridianbet imefika leo. Suka jamvi lako la ushindi siku ya leo na uingie kwenye wale washindi wakubwa ambao hutangazwa hapa kila wiki. LALIGA kule…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Serikali ya Benin imepinduliwa December 7, 2025 Erasto Masalu JARIBIO la mapinduzi linaendelea nchini Benin, baada ya kundi la wanajeshi kudai kwamba wamemwondoa Rais Patrice Talon madarakani na sasa wanachukua usimamizi wa nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Tanzania yaibuka kinara wa utalii duniani December 7, 2025 Erasto Masalu TANZANIA imeibuka kinara wa utalii duniani kama nchini inayoongoza kwa utalii wa safari katika tuzo zilizotolewa usiku wa jana tarehe 6 Desemba nchini Bahrain. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…