HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Taifa limepata pengo kuondokewa na Jenesta – Nchimbi December 11, 2025 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Balozi Emmanuel Nchimbi amesema, taifa limepata pengo kuondokewa na aliyekuwa Mbunge wa Peramiho mkoani Ruvuma, Jenista Mhagama. Amesema, Jenesta alikuwa kiongozi aliyeheshimika na kutumikia nchi…
BIASHARA Mafanikio yanakubishia hodi kupitia Wild White Whale ya Meridianbet December 11, 2025 Erasto Masalu Katika dunia ya kasino mtandaoni ambako bahati mara nyingi hutawala, Meridianbet imekuja na kitu tofauti, nafasi ya kupata zawadi bila kutegemea kubahatisha. Kupitia promosheni ya mwezi mzima ya Wild White…
HABARI ZA MICHEZO Mzigo mkubwa upo Meridianbet leo na Europa League December 11, 2025 Erasto Masalu Mechi za Europa League zinaendelea leo hii huku nafasi ya kutusua na Meridianbet ikiwa nje nje. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia na ubashiri sasa. Dinamo…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Buriani Jenesta Mhagama December 11, 2025 Erasto Masalu JENESTA Mhagama, mbunge wa Peramiho, mkoani Ruvuma (CCM), amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa iliyotolewa na ofisi ya Bunge imeeleza kuwa Jenesta amekutwa na umauti…
ELIMU Mfumo mpya wa Elimu kuanza rasmi 2028 December 10, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, amesema Serikali inajiandaa kuanza utekelezaji wa mageuzi makubwa ya mfumo wa elimu yatakayobadilisha muundo uliodumu kwa zaidi ya nusu karne. Anaripoti…
SIASA Siku ya Uhuru, isiyokuwa huru December 10, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha ACT -Wazalendo, kimesema kuwa Tanganyika imeazimisha sherehe za uhuru wake kukiwa hakuna uhuru kufuatia hatua zilizochukuliwa na dola kudhibiti uwezekano wa kutokea maandamano yaliyotangazwa na wanaharakati. Anaripoti Zakia…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Kesi kupinga uchaguzi Zbar zaanza December 10, 2025 Erasto Masalu WANACHAMA 17 wa ACT Wazalendo waliogombea uwakilishi kwenye Uchaguzi Mkuu Zanzibar wamewasilisha maombi rasmi ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyowatangaza washindani wao kutoka Chama Cha Mapinduzi kuwa ndio washindi. Anaripoti…
SIASA TANGULIZI OMO agoma kuingia katika serikali ya Zanzibar December 10, 2025 Erasto Masalu OTHMAN Masoud ‘OMO’ Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo amegoma kujiunga kwenye serikali ya umoja wa kitaifa (SUK), visiwani Zanzibar kama makamu wa kwanza wa Rais katika serikali hiyo, MwanaHALISI imeelezwa.…
HABARI ZA MICHEZO Usiku wa Ulaya kukupatia mkwanja leo December 10, 2025 Erasto Masalu Mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya bado zinaendelea na wakali wa Meridianbet wanakwambia kuwa nafasi ya wewe kuibuka bingwa ipo hapa. Weka dau lako sasa na ubashiri mechi zote hapa.…
BIASHARA Rudi uwanjani kila siku na 10% ya dau lako bure kupitia Win&Go ya Meridianbet December 10, 2025 Erasto Masalu Meridianbet imeamua kukupa sababu ya kurudi mchezoni kila siku bila hofu ya kupoteza. Kupitia Win&Go, unapata nafasi sio tu ya kushinda papo hapo, bali pia kurejeshewa 10% ya hasara zako…